matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,511
US ndio sehemu Bora ya kuishi duniani.
Hii ndio maana yake.
Hii ndio maana yake.
Mada inazungumzia hili nyie mnazungumzia lile yani iyo chuki yenu kwa Uislamu haina dogoHata UK. Ila Waingereza hawana mchezo mchezo, ukizileta sijuwi Sheria za kiislamu lazima ile kwako! Hakuna cha sikukuu za idd wala ashura! Kwenye makantini, ma kitimoto kama vile!
Wanadai nchi yao ya kikristu, uislamu nenda Saudia, Sudan, Yemen, Iran nk nk! Tatizo hawaendi! Hapo inashangaza kweli kweli!
They say Putin's daughters live in central London, did you know that? 😀 😀
Hii Topić ni ngumu sana kwako. Sijui hata nianzie wapi kukuelimisha maana umesikiliza sana CNN.....Wahiyo kusoma KGB ni kuwa mtaani Tanzania na kushoka. Mada inahusu watoto wa viongozi wa Russia kuwa nje ya russia kwa kusoma na kuishi katika mataifa ambayo russia inaamini ni maadaui zake. Unapelekaje watoto wenu kwenye nchi mnayosema ni maadui alafu wao kama viongozi si ndiyo wangekuwa wa kwanza kuacha familia zao zikae na kusoma pale pale Russia. Unasemaje mtu adui yako alafu unapeleka mtoto wako akapate elimu kwa adui Tena?.
Naomba nikuongezee maarifa Yesu aliishi na kusoma Egypt katika chuo ambacho Sasa hivi kinaitwa "Alexandria university"😡Hata Obama aliishi na kusoma Indonesia.
Assad alisoma na kuishi UK
Kim Jong Un alisoma na kuishi Switzerland.
Mwisho wa siku hao wote walirudi kuongoza nchi zao.
Ata Yesu aliishi Egypt akarudi Israel.