Familia za Viongozi wa Urusi

Familia za Viongozi wa Urusi

Madikteta ni watu hatari sana. Huku wanawaaminisha USA ji mbaya lakini familia zao wamezificha huko.

Chawa ndio wanatuumiza
Russia ya Putin aliomba kujiunga EU na NATO ila walimkatalia. West huwa lazima wamfanye RUSSIA ni adui na kumlisha maneno ya ovyo kwamba Russia hapendi West ila ukweli ni kuwa West ndiyo hampendi Russia na anamtumia Russia Kama Shetani La kutishia Wananchi wake.
Bahati mbaya hadi Watanzania tunaamini.
Hivi kweli Russia anaweza kusimama na kumshambulia Finland, Norway, Poland au Sweden et el???
Inabidi usiwe na akili kuamini hivyo.
 
Unasema Russia ipi?
Hii ya Matajiri wa kutosha wa Kirusi??😀😀

Hao Matajiri wote kabisa wa Urusi unaowaona wamebaki nchini Urusi ni Vibaraka wa Watawala wa nchi hiyo, hata hizo Mali walizonazo kwa sehemu fulani wanazimiliki kwa pamoja na hao Watawala wa nchi hiyo. Baadhi ya Matajiri hao ni Mawakala tu lakini wamiliki halisi wa Mali hizo ni Watawala wa nchi hiyo waliopo madarakani.
 
- Stalin's daughter - lived and died in the United States for decades.

Joseph Stalin hakuwa MRUSI.
STALIN alikuwa mzaliwa wa USSR au CCCP akizaliwa nchi ya Georgia.
 
Hao Matajiri wote kabisa wa Urusi unaowaona wamebaki nchini Urusi ni Vibaraka wa Watawala wa nchi hiyo, hata hizo Mali walizonazo kwa sehemu fulani wanazimiliki kwa pamoja na hao Watawala wa nchi hiyo. Baadhi ya Matajiri hao ni Mawakala tu lakini wamiliki halisi wa Mali hizo ni Watawala wa nchi hiyo waliopo madarakani.
Ndivyo zilivyo nchi za Kikomonisti siyo?
Kumbe unajua na unataka kutulisha matango pori?
Unajua Ukoministi wewe???
 
Watoto wa Putin kabla ya Vita walikuwa wanaishi nchini Marekani, walikuwa wanafanya biashara huko. Baada ya kuanzisha Vita nchini Ukraine hao mabinti zake walirejea nchini Urusi.
Siyo kweli. Huyu aliyeolewa na Mholanzi wameishi miaka kibao Russia kabla ya kuachana. Mumewe anafanya biashara huko huko Russia.
Jipange vizuri Kiongozi.....
 
- Stalin's daughter - lived and died in the United States for decades.

- Khrushchev's son is a US citizen.

- Where are Putin's daughters? They are not seen in Russia.

— Deputy Pekhtin. With my son in USA.

- Minister of Transport of the Moscow region - Katsyva. With my son in USA.

- Children of deputy Zheleznyak - live in Switzerland.

— Children of Astakhov. One in France, the other in England.

- Children and grandchildren of the "Chief Patriot of Russia" head of the Russian Railways Vladimir Yakunin live outside the country - in England and Switzerland.

- The daughter of the Minister of Foreign Affairs Sergei Lavrov, Catherine, lives and studies in the United States.

- The son is the deputy speaker of the State Duma A. Zhukova lived and studied in London for a long time.

— The daughter of the Deputy Speaker of the State. Sergei Andenko studies and lives in Germany.

- The eldest son of Deputy Prime Minister Dmitry Kozak - Alexey lives abroad and is engaged in construction business.

- Alexei Kozak's younger brother, Alexander, works in Credit Suisse

- Deputy Remezkov's eldest son, Stepan, recently graduated from Valley Forge Military College in Pennsylvania (year of education costs 1 million 295 761 rubles. ). His youngest daughter lives in Vienna, where she practices gymnastics. Masha Remezkova represented the Austrian national team (!!! ) at children's competitions in Ljubljana.

- The daughter of Deputy V. Fetisova - Anastasia, grew up and studied in the United States. Nastya never learned to write and read in Russian.

- The daughter of Svetlana Nesterova, a state deputy. thoughts from the faction "United Russia" - lives in England.

— The main fighter for "traditional Orthodox values" is E. Mizula's son Nikolai studied in Oxford, received a diploma and moved to live on a permanent basis in tolerant Belgium, where same-sex marriage is allowed.

- Deputy Vorontsov's daughter Anna lives in Italy. That's where she moved from Germany.

- One-Russian Elena Rakhova, famous for calling Leningrad residents who have lived less than 120 days in the blockade "non-blockers", her daughter lives in the United States.

- The daughter of the ex-speaker of the DG, one of the founders of the "United Russia" party, and now a member of the Soviet Union Boris Grizlov Evgenia, lives in Tallinn. And even recently received Estonian citizenship.

- The son of former Education Minister Andrei Fursenko lives in the United States on a permanent basis.

- Son of V. Nikonova (grandson of Molotov), the president of the Politika Foundation, is a US citizen.
Ngoja Warusi weusi waje...

Lee Van free Yoda TUJITEGEMEE Gagnija
 
Hao Matajiri wote kabisa wa Urusi unaowaona wamebaki nchini Urusi ni Vibaraka wa Watawala wa nchi hiyo, hata hizo Mali walizonazo kwa sehemu fulani wanazimiliki kwa pamoja na hao Watawala wa nchi hiyo. Baadhi ya Matajiri hao ni Mawakala tu lakini wamiliki halisi wa Mali hizo ni Watawala wa nchi hiyo waliopo madarakani.
Akina Prigozhin matajiri wa Putin
 
Siyo kweli. Huyu aliyeolewa na Mholanzi wanaishi miaka kibao Russia. Mumewe anafanya biashara huko huko Russia.
Jipange vizuri Kiongozi.....

Nijipange vizuri kuhusu Nini?

Miaka michache Kabla ya Vita ya Ukraine, Rais Putin alikuwa anahojiwa na Mwandishi mmoja wa Habari, yeye mwenyewe alikiri kuhusu suala hili kuwa Binti yake yupo US, huku akiwa na mjukuu wake wa kiume (mtoto Mdogo) akiwa naye. Lakini mwishoni alisisitiza kwamba huwa hapendelei Sana kuongelea kuhusu maisha yake binafsi pamoja na maisha ya watoto wake, na hapendi kabisa wanafamilia yake wawe wanajitokeza mara kwa mara kwenye vyombo vya Habari.
Anapenda maisha yake yawe ni Siri yake yeye mwenyewe na familia yake.

FYI: Rais Vladimir Putin mwenyewe alilelewa kwenye kituo Cha kulelea watoto wasiokuwa na Wazazi wao, na wakati mama yake mzazi alipojitokeza baadaye Sana huyo Putin alikana kumtambua huyo Mwanamke ambaye ndiye inasemekana alikuwa ni mama yake mzazi.
 
Mabinti wa Putin wamepigwa SANCTION nchi za West na wanaishi RUSSIA..
Kama hili linakuuma na ulitaka wakaishi West basi Panadol zinakuhusu.
Pole......😝😝

Kuhusu Putin na Mama yake, kwani Nani anajali? Kwanza kashajifia huko aliko.... Hata Mkapa alilelewa, so what.... ..
 
Kwa hiyo waliopo Nje ni Watoto wa Vigogo tu? Hata Tanzania tuna Warusi wamejichokea Mtaani.
Warusi nao ni Binadamu tu Kama wengine.
Wahiyo kusoma KGB ni kuwa mtaani Tanzania na kushoka. Mada inahusu watoto wa viongozi wa Russia kuwa nje ya russia kwa kusoma na kuishi katika mataifa ambayo russia inaamini ni maadaui zake. Unapelekaje watoto wenu kwenye nchi mnayosema ni maadui alafu wao kama viongozi si ndiyo wangekuwa wa kwanza kuacha familia zao zikae na kusoma pale pale Russia. Unasemaje mtu adui yako alafu unapeleka mtoto wako akapate elimu kwa adui Tena?.
 
Hata Obama aliishi na kusoma Indonesia.
Assad alisoma na kuishi UK
Kim Jong Un alisoma na kuishi Switzerland.
Mwisho wa siku hao wote walirudi kuongoza nchi zao.
Ata Yesu aliishi Egypt akarudi Israel.
Ingawa hi ya Yesu ni tofauti kidogo na uliowataja. Israel/Palestine na Misri ilikua ni kaeneo ka kutembea kwa mguu tu, unafika. Walipochimba mfereji wa Suez canal that's when ujirani wao uliharibika. Huwezi tena kwenda na kurudi kwa mguu; meli/boat au ndege lazima vihusike
 
Nchi kama Russia haina tofauti na hii ya kwetu kiasi kwamba anayebakimo hana tu namna ya kutoka kwenda kwenye nchi zinazoeleweka na ndio maana ukiomba upewe pasi utakutana na maswali 1,000. Bure kabisa.
Nonsense
 
Nani dunia hii hasiye taka kuishi New York, Los Angeles, Miami, Houston,Dallas, San Francisco, Seattle Washington,San Diego, sunny islet, Atalanta USA ndio dunia yenyewe hata Putin mmwaga damu anatamani kuishi huko sema ndio hivyo.
 
Kwani kuna nini huko?
 
Back
Top Bottom