Familia yangu yote tumejiunga UDOM Chuo KIkuu tuwe na PhD

Mimi na mwenza wangu,na watoto wangu wawili tumeshajiunga chuo kikuu cha Dodoma ili tuweze kupata PhD za Voda fasta

Wana ccm wenzangu hii ni fursa, Bahati hazipatikani kirahisi, Jiungeni na chuo kikuu cha Udom mapema kujipatia PhD

Udom ni chuo Kikuu pekee ambacho kinatoa nafasi na PhD za haraka haraka kwa wanasiasa kama mimi

Tunatumia nafasi hii vizuri kabla mambo hayajageuka hapo mbeleni

Shule ni shule tu, Huku mtaani uwe umesoma Oxford, Harvard au Cambridge kinachotakiwa ni CONNECTION TU

Siungi mkono PhD uchwara kama hizi lakini kuna muda inabidi ucheze na mdundo au Beat linavyotaka

Kama DJ ameruhusu kuruka ruka ukimbuni, Mimi nani nikatae PhD ya bure toka Udom

Udom ni sehemu pekee kwa watu sasa kujipatia PhD

karibuni Udom sana

Mpaka mwaka 2025 kila mwanasiasa atakuwa anaitwa Dokta

Hapo mwakani nitaitwa Mheshimiwa, Dokta Gussie (PhD udom 2022)
Sass mlitaka wakasome chini ya mti au?
 
MKUU Ahsante kwa taarifa,

Na Mimi na wife na watoto
wangu,mmoja anaingia kidato Cha kwanza ngoja nigaili asiende secondary numpeleke UDOM,
Mwingine anaingia la tabo ,na mwenzie anaanza chekechea wote hao niwapeleke haraka kabla hawajashituka Hawa UDOM
 
Mimi na mwenza wangu,na watoto wangu wawili tumeshajiunga chuo kikuu cha Dodoma ili tuweze kupata PhD za Voda fasta

Wana ccm wenzangu hii ni fursa, Bahati hazipatikani kirahisi, Jiungeni na chuo kikuu cha Udom mapema kujipatia PhD

Udom ni chuo Kikuu pekee ambacho kinatoa nafasi na PhD za haraka haraka kwa wanasiasa kama mimi

Tunatumia nafasi hii vizuri kabla mambo hayajageuka hapo mbeleni

Shule ni shule tu, Huku mtaani uwe umesoma Oxford, Harvard au Cambridge kinachotakiwa ni CONNECTION TU

Siungi mkono PhD uchwara kama hizi lakini kuna muda inabidi ucheze na mdundo au Beat linavyotaka

Kama DJ ameruhusu kuruka ruka ukimbuni, Mimi nani nikatae PhD ya bure toka Udom

Udom ni sehemu pekee kwa watu sasa kujipatia PhD

karibuni Udom sana

Mpaka mwaka 2025 kila mwanasiasa atakuwa anaitwa Dokta

Hapo mwakani nitaitwa Mheshimiwa, Dokta Gussie (PhD udom 2022)
Ungejiunga na kile chuo cha dkt.msukuma
 
Sass mlitaka wakasome chini ya mti au?
Kwa kuwa siihasa haiihitaji wasomi kwanini kuingia gharama zote hizo na kuliingizia taifa hasara, kwani wanasiihasa ni asilimia kubwa ya wanaotumia Kodi za mlalahoi🏃.
 
Mimi na mwenza wangu,na watoto wangu wawili tumeshajiunga chuo kikuu cha Dodoma ili tuweze kupata PhD za Voda fasta

Wana ccm wenzangu hii ni fursa, Bahati hazipatikani kirahisi, Jiungeni na chuo kikuu cha Udom mapema kujipatia PhD

Udom ni chuo Kikuu pekee ambacho kinatoa nafasi na PhD za haraka haraka kwa wanasiasa kama mimi

Tunatumia nafasi hii vizuri kabla mambo hayajageuka hapo mbeleni

Shule ni shule tu, Huku mtaani uwe umesoma Oxford, Harvard au Cambridge kinachotakiwa ni CONNECTION TU

Siungi mkono PhD uchwara kama hizi lakini kuna muda inabidi ucheze na mdundo au Beat linavyotaka

Kama DJ ameruhusu kuruka ruka ukimbuni, Mimi nani nikatae PhD ya bure toka Udom

Udom ni sehemu pekee kwa watu sasa kujipatia PhD

karibuni Udom sana

Mpaka mwaka 2025 kila mwanasiasa atakuwa anaitwa Dokta

Hapo mwakani nitaitwa Mheshimiwa, Dokta Gussie (PhD udom 2022)
UDOM imejidhalilisha
 
UDOM imejidhalilisha
Sasa mlitaka nani apate hio PhD? Tajeni mtu mwenye hadhi ya kuipata phd ili raia tujue, maana mnatuchanganya.Magufuli alipata phd yake watu wakawa wanakesha kumponda, leo hao wamepata watu wanalaumu.

Nchi ngumu hii,Watu wanaamua nani anastahili kupata na nani asipate, kwani wakati wanasoma mlikua nao?
 
UDOM Kama UDOM
Sura Zao Wataziweka Wapi Ila Nawakubali Uso Wa Mbuzi
 
Sasa mlitaka nani apate hio PhD? Tajeni mtu mwenye hadhi ya kuipata phd ili raia tujue, maana mnatuchanganya.Magufuli alipata phd yake watu wakawa wanakesha kumponda, leo hao wamepata watu wanalaumu.

Nchi ngumu hii,Watu wanaamua nani anastahili kupata na nani asipate, kwani wakati wanasoma mlikua nao?
Naomba cheapish la PhD ya Magu
 
Prof Bee naye Alipata uprof kwa njia anayoijua yeye, sasa Ameanza kuuza Phd kwa wanasiasa.
 
Mimi na mwenza wangu,na watoto wangu wawili tumeshajiunga chuo kikuu cha Dodoma ili tuweze kupata PhD za Voda fasta

Wana ccm wenzangu hii ni fursa, Bahati hazipatikani kirahisi, Jiungeni na chuo kikuu cha Udom mapema kujipatia PhD

Udom ni chuo Kikuu pekee ambacho kinatoa nafasi na PhD za haraka haraka kwa wanasiasa kama mimi

Tunatumia nafasi hii vizuri kabla mambo hayajageuka hapo mbeleni

Shule ni shule tu, Huku mtaani uwe umesoma Oxford, Harvard au Cambridge kinachotakiwa ni CONNECTION TU

Siungi mkono PhD uchwara kama hizi lakini kuna muda inabidi ucheze na mdundo au Beat linavyotaka

Kama DJ ameruhusu kuruka ruka ukimbuni, Mimi nani nikatae PhD ya bure toka Udom

Udom ni sehemu pekee kwa watu sasa kujipatia PhD

karibuni Udom sana

Mpaka mwaka 2025 kila mwanasiasa atakuwa anaitwa Dokta

Hapo mwakani nitaitwa Mheshimiwa, Dokta Gussie (PhD udom 2022)
Mkuu wengi wanaandikiwa, mimi binafsi nmeandikia tafiti watu kadhaa na wana M.A bila hta kujua andiko lao linazungumzia nini!!

So hta Jaffo na Biteko obviously wameandikiwa, sasa ukipata Dr wa UDSM hapo ukampa million 15 mbona anakuandikia na una publish kabisa paper zako.

So consultancy ndio imerahisisha elimu yetu tusimshangae sana Jaffo
 
Hizo PhD zingetolewa na vyuo private Kama Tumaini,SAUT nk ungesikia kilele nyingi Sana kutoka kwa wale wanao jifanya vipanga kutoka vyuo vya serikali
 
NASEMA KWA UTHIBITISHO UNAOENDELEA KUTOLEWA NA WANANCHI KUHUSU UDOM. CHUO HIKI KIFUNGIWE MIAKA KUMI AU KIFUTWE KABISA KWA UBADHIRIFU NA MAKOSA KINAYOYAFANYA. HATUA ZA KISHERIA ZIFUATE MKONDO WAKE

HATUWEZI TUKAWA NA VYUO TAKATAKA DIZAINI YA UDOM, HUKU NI KUHUJUMU ELIMU YA TAIFA HILI LA TANZANIA.
 
Hizo PhD zingetolewa na vyuo private Kama Tumaini,SAUT nk ungesikia kilele nyingi Sana kutoka kwa wale wanao jifanya vipanga kutoka vyuo vya serikali
SAUT, UDSM na MZUMBE havina huo upumbavu wa kijinga wa kugawa Degree, Masters na PhD za hongo na rushwa kama UDOM.

Wahadhiri wa UDOM wafungiwe kufundisha popote pale miaka kumi na wachukuliwe hatua za kisheria na UDOM ifutwe takataka.
 
Shida mkuu wanao somo vyuo vya serikali husema SAUT hugawa marks na GPA bure
 
Back
Top Bottom