Familia ya Wema, Diamond wapiga kambi polisi Dar kujua hatima ya watoto wao

Mbona hueleweki unachokiandika Jeshi la Polisi wanaweza kumfikisha mtu mahakamani bila kuwa na ushahidi?mahakama ikimwachia huru mnajisifu mmeshindwa kesi?
Unashangaa mtuhumiwa kuwa huru, hizo ni akili za mbuya unga.. drug addict ndio atashangaa mtuhumiwa kuachwa huru, ni jambo la kawaida sana
Wee kweli bado dark headed..!!

Mahakamani unapitia tokea wapi..? njia moja wapo is thru polisi.. ndio maana wako polisi, kama watuhumiwa, polisi wakiona baadhi wana kesi ya kujibu watafikishwa court, wakiona ambao hawana kesi ya kujibu watawaacha huru..

Unashangaa mtuhumiwa kuwa huru, hizo ni akili za mbuya unga.. drug addict ndio atashangaa mtuhumiwa kuachwa huru, ni jambo la kawaida sana
 
Mbona unatokwa na povu sana?


Sbb unatetea ujinga.. unaona as if waliotakiwa kufika polisi na walio ndani ni kosa, na huo ndio mtazamo wako mbovu, na unabeza juhudi za kupambana na madawa ya kulevya, that is when i undoubtedly call you an arrogant..!!
 
  • Thanks
Reactions: Oxx
Ukiona kazini mtu anaangakia kwa chini chini ujue anachet fake..na.. Hivyo hivyo kwa mtu akionekana anatetea watu wanaotuhumiwa na dawa za kulevya na yeye yupo!!!

In short ndio wale wale tu!!!
 
Hayo mawazo yako kutokana na uelewa wako kama ni kweli wangekuwa na ushahidi wangehojiwa na kupelekwa mahakamani .Vita ya madawa ya kulevya siyo rahisi kama Makonda anavyofikiria Jk akiwa raisi mpaka ameondoka alipewa majina wahusika alishindwa kuwakamata wahusika Makonda anatafuta sifa kupitia wasanii akina Chid Benz, TID na Wema Sepetu .tusubiri muda utaongea
Melo alipelekwa mahakaman baada ya muda gani?Wamezuiliwa Ijumaa so wanaweza kupelekwa mahakaman Leo,sijui unaelewa lakini?
 
Kwa hiyo Makonda anataka kutuaminisha pesa na misaada aliyokuwa analetewa ofisini kwake na Diamond zilikuwa za sembe?
 
Kamaa wanahusika wachukuliwe hatua kadhaa lakini kibaya ikiwa hawahusiki tayari watakuwa tayari wameharibiwa heshima katika jamii
 
La msingi hapa ni kutumia busara ya kushughulika na suala hili kwa sababu ni rahisi sana kutengeneza brand (alama) yako, lakini brand hiyo inaposhushwa kwa namna yoyote, inakuwa vigumu kuipandisha tena.

“Tusiwahukumu watu kwa hisia, lazima suala hili lishughulikiwe kwa kulinda haki za watuhumiwa ili ikithibitika hawahusiki na matumizi ya dawa hizo, iwe ni rahisi kwao kurejesha heshima yao,
Wakapimwe tu fasta hospitali, kama wanabwia kusiwe na mijadala mireeeefu. Kule gerezani kuna watu wametukanana na majirani zao tunawalisha bure huku huku nje sembe kama Pakistan
 
Hao ndugu nao ni wapungufu wa akili kweli kweli.....yan mtoto hana kazi yakueleweka lakini anamiliki pesa nyingi then mzazi unashindwa hata kuhoji anazipata vipi then siku anakuja kudakwa ndio unaanza kujiliza.....kama inawezekana na wao wawekwe ndani tu.


Pesa nyingi ni shilling ngapi ? Kuna nani ambaye hapendi pesa.. Wabongo kwa kupondeana tumezidi dunia nzima.
 
Mkuu wa Kaya Kapigilia Msumari APA.....

Anasema hi vita Si ya Mtu mmoja Hi Vita ni yetu sote.....

Akiwa na Wakuu wa majeshi Leo.
 
Hakuna vita isiyo na majeruhi! Cha msingi ni kutathimini faida vs majeruhi! Vita ya madwa ya kulevya ni kubwa na hata kama brand za wachache zitajeruhiwa ni bora kuliko idadi ya watanzania wanaoangamizwa kwa hii biashara chafu! Tumuombee Makonda, Rais na wote wenye Dhamira njema!
 
Bila Picha siwezi kuamini, manake kama kuandika kilamtu anaweza
 

Sbb unatetea ujinga.. unaona as if waliotakiwa kufika polisi na walio ndani ni kosa, na huo ndio mtazamo wako mbovu, na unabeza juhudi za kupambana na madawa ya kulevya, that is when i undoubtedly call you an arrogant..!!
Mchuma janga hula na wakwao.
 
Back
Top Bottom