Mbona nasikia baadae alikuja kuwa mmoja wa wamiliki (kuna uzi humu jf unaonyesha mpaka % ya share zake)...kampuni kubwa kama CMG sio njema kumilikiwa na mtu mmoja au familia peke yake..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta uzi amepotoka kusema Ruge ni mmoja wa wamiliki wa Clouda Media Group. Ruge ni mtumishi, ile kampuni ipo chini ya familia ya Kusaga. Aliwahi kuomba awe part ya umiliki kwa kununua hisa kwa kuzingatia uswahiba wake na Kusaga mkubwa. Ila board members wa familia wakakataa hilo. Hivyo hadi hivi leo Ruge ni mtumishi wa CMG na si mmiliki.
I wonder hata kwanini huyu baba huwa anatukanwa huku Kusaga family wao kutoguswa. Usilolijua ni usiku wa giza. Mwenyezi Mungu atamsaidia nafahamu mateso mazito anayopatam Tusikie hivyo ila yasikukute.
Sent using Jamii Forums mobile app