Familia ya raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania

Ndugu wana JF

Kwa wale ambao wameshuhudia chaguzi za nchi mabalimbali, tumekuwa tukioneshwa familia za viongozi wa nchi husika ikiwemo watoto na pia wake zao kama yuko zaidi ya mmoja mfano Zuma wa S. Africa, barack Obama USA na wengineo. Je Familia ya Raisi wa JMT ina watoto wangapi? na pia ina wake wangapi kama yupo zaidi ya mmoja.

Regards,
Kiraia

Mpm Jeykeywaukweli atakwambia
 
Shida Chifu... siyo kwamba ni siri ila aibu itafuatia kwani the size of this family haijulikani kwani ni kubwa mno iringa, Dar, Bwagamoyo, Zanzibar etc etc.
Kuna katoto kake kamoja kapo pale Njombe.............. mwalimu mkuu akakafukuza shule kwa sababu ya ada......kajamaa kakazama kwa mkuu wa wilaya...baada ya kukahoji kakaweka kila kitu wazi......ilibidi mtu aingie mfukoni mwake akalipie na baada ya hapo hakajawahi kufukuzwa
 
Niwapi ulishawahi kuona hata picha ya Baba na Mama yake na JK?:teeth:

03.jpg
 
haya....familia ya rais hii hapa......Familia ya Rais

Kumbe ni ya Slava.....nonconsistent kabisa ana sema rais ana watoto 8 na Salma:pale kataja 6 Ridhwani Kikwete,Salama Kikwete,Miraji Kikwete, Ali Kikwete, Khalfani Kikwete na Rashid Kikwete (Chodo)

Halafu Salma hawezi kumzaa Ridhiwani wala huyo Salama...hivo wana mamayao asiye Salma na Salva hajamtaja
 
Pale penye junction ya Karimjee na Ocean road (Dsm, Tanzania) kuna bango lina picha ya Mh Rais na Mamake !
 
Nadhani aliyeuliza analikuwa na nia nzuri. Rais ni nembo ya taifa na kujua familia yake ni jambo la kawaida sana. Sioni kuna haja ya kutaja nyumba ndogo na product za huko kwa kuwa hiyo ni privacy, lakini kwa ile familia aliyonayo na anaihudumia hata mimi napenda kujua.
 
Familia ya rais haipaswi kuwa siri hata kidogo na tena ilipaswa watu waifahamu tokea pale tu anapotangaza nia na kama inakuwa imezingirwa na mazonge-mazonge hicho huwa kinatumika kama kigezo cha kukataliwa na wananchi.lakini ya huyu baba ni siri, tutaijua zaidi wakati wa kuweka mashada siku ya mwisho!!!!
 
Nafikiri haya ni mambo binafsi ya mtu!tujikite zaidi kwenye ambayo yatatatua matatizo ya nchi yetu!
 
haya ni mambo ya ndani zaidi na kutokana na alivyoingia Ikulu kwa mara ya pili hawezi kutangaza familia yake, lakini ni utaratibu mzuri tu kujua familia ya rais ikoje nafikiri kila nchi kuna utaratibu huo na sio siri maana unahudumiwa na kodi zetu

kwa hiyo ambao wanatoa huduma kwa familia ya rais wanajua wapo wangapi na wanaishi wapi ila sijui kwa nini hata waandishi wa magazeti hawaonyeshi wanafamilia wakisherekea ushindi wa baba yao labda nyumbani kwao au pale ikulu
 
Back
Top Bottom