Familia tunalipa gharama kubwa kwa makosa ya baba

Nov 14, 2023
5
66
Sijui nifanyaje hapa, ni miaka kumi na sita sasa tangu baba yangu afariki.

Baba kuna kosa alifanya enzi za uhai wake. Kosa hilo limesababisha mateso na dhiki kuu hii leo kwa familia nzima. We are paying heavy price.

Nimefikiria nimtafute aliyekosewa nijaribu kumuomba msamaha, naona hii ndio njia pekee iliyobaki. Tumejaribu kila njia kujiokoa hapa tumeshindwa, labda baba angekuwepo ingekuwa rahisi, lakini sijui nitampata wapi na kama ikiwa bado yuko hai.

Jamani jitahidini sana kuwatendea watu mema katika haya maisha. Hata ikiwa hauwezi kuwatendea mema basi usiwatendee mabaya, usiwaumize watu.

Unajua unaweza ukajiona mjanja hii leo kwa kufanya jambo flani lakini watoto wako wakaja kulipa gharama kubwa.

Wema na ubaya ni akiba.
 
Sijui nifanyaje hapa

Ni miaka kumi na sita sasa tangu baba yangu afariki.

Baba kuna kosa alifanya enzi za uhai wake.

Kosa hilo limesababisha matesao na dhiki kuu hii leo kwa familia nzima.

We are paying heavy price.

Nimefikiria nimtafute aliyekosewa nijaribu kumuomba msamaha, naona hii ndio njia pekee iliyobaki.

Tumejaribu kila njia kujiokoa hapa tumeshindwa

Labda baba angekuwa ingekuwa rahisi

Lakini sijui nitampata wapi na kama ikiwa bado yuko hai.

Jamani jitahidini sana kuwatendea watu mema katika haya maisha.

Hata ikiwa hauwezi kuwatendea mema basi usiwatendee mabaya.

Usiwaumize watu

Unajua unaweza ukajiona mjanja hii leo kwa kufanya jambo flani lakini watoto wako wakaja kulipa gharama kubwa.

Wema na ubaya ni akiba
Kama umeamua kuleta hiki kisa huku basi pia kua muwazi kwa hicho kiini cha mada kukiekezea
 
Sijui nifanyaje hapa

Ni miaka kumi na sita sasa tangu baba yangu afariki.

Baba kuna kosa alifanya enzi za uhai wake.

Kosa hilo limesababisha matesao na dhiki kuu hii leo kwa familia nzima.

We are paying heavy price.

Nimefikiria nimtafute aliyekosewa nijaribu kumuomba msamaha, naona hii ndio njia pekee iliyobaki.

Tumejaribu kila njia kujiokoa hapa tumeshindwa

Labda baba angekuwa ingekuwa rahisi

Lakini sijui nitampata wapi na kama ikiwa bado yuko hai.

Jamani jitahidini sana kuwatendea watu mema katika haya maisha.

Hata ikiwa hauwezi kuwatendea mema basi usiwatendee mabaya.

Usiwaumize watu

Unajua unaweza ukajiona mjanja hii leo kwa kufanya jambo flani lakini watoto wako wakaja kulipa gharama kubwa.

Wema na ubaya ni akiba
Pole sana Ndugu yangu tunawambia Watu na kuwahubiria siku zote Mwenyezi Mungu ameshayasema haya.

" Bwana Mungu huwapatiliza Wana Aa uovu kizazi cha kwanza hadi kizazi cha nne"

Baada ya Jemedali Yoab kumuua Abneri ktk Kitabu cha Samweli wa Pili, Mungu aliilaani familia ya Mzee Seruya kuwa Wamelaaniwa uzao wake woote watoto wao na wajukuu na kwamba ktk ukoo wao hatakosa mtu mwenye
  • Ukoma( magonjwa sugu)
  • Njaa( umaskini)
  • mfadhaiko( maradhi ya akili)
-viwete( maradhi ya kurithi).

Wakati mtu anatenda mabaya aidha kwa kutumwa na kulipwa mapesa mengi anaonekana kama anakula bata.

Lakini ukweli ni kuwa hawa watu wanapitia hali mbaya kwenye maisha yao.
Nitakupa baadhi ya kifano michache. Hapa ardhi ya Nyerere kuna mtu aliwahi kutokea kwenye kijiji kimoja alikuwa mtesaji wa watu wakati huo huo mama akiwa na Stroke( in coma state) for the length fo morethan 7yrs). Haya hufanywa na Mungu ili na wewe mtesaji ujisikie maumivu ya wenzako.

Kamwe usimtende mtu jambo baya kama huwezi kumsaidia mwache na maisha yake
 
Sijui nifanyaje hapa

Ni miaka kumi na sita sasa tangu baba yangu afariki.

Baba kuna kosa alifanya enzi za uhai wake.

Kosa hilo limesababisha matesao na dhiki kuu hii leo kwa familia nzima.

We are paying heavy price.

Nimefikiria nimtafute aliyekosewa nijaribu kumuomba msamaha, naona hii ndio njia pekee iliyobaki.

Tumejaribu kila njia kujiokoa hapa tumeshindwa

Labda baba angekuwa ingekuwa rahisi

Lakini sijui nitampata wapi na kama ikiwa bado yuko hai.

Jamani jitahidini sana kuwatendea watu mema katika haya maisha.

Hata ikiwa hauwezi kuwatendea mema basi usiwatendee mabaya.

Usiwaumize watu

Unajua unaweza ukajiona mjanja hii leo kwa kufanya jambo flani lakini watoto wako wakaja kulipa gharama kubwa.

Wema na ubaya ni akiba
Au ni mtoto wa Kamanda Zombe?
 
Nimachojua, toba, wokovu wa kweli na dhati kupitia damu ya Yesu ina reset kila kitu.

Ila, umesema sahihi, tutende mema.
 
Kuna uzi humu juzi ulipita ukidai mbona akina Fulani wakistafu magonjwa yao ni Stroke, kisukari, figo n.k?

Haya ndio majibu yake.
Kiroho malipo ni hapa hapa duniani.
Na familia ndio zinabeba mateso zaidi, unachukua pesa ya dhulma kwenda kumlipia ada mwanao? Seriously? Unachukua pesa ya ujira WA damu kwenda kujengea nyumba? Subutuuu au unanunua magari, yatakumaliza
 
Sijui nifanyaje hapa

Ni miaka kumi na sita sasa tangu baba yangu afariki.

Baba kuna kosa alifanya enzi za uhai wake.

Kosa hilo limesababisha matesao na dhiki kuu hii leo kwa familia nzima.

We are paying heavy price.

Nimefikiria nimtafute aliyekosewa nijaribu kumuomba msamaha, naona hii ndio njia pekee iliyobaki.

Tumejaribu kila njia kujiokoa hapa tumeshindwa

Labda baba angekuwa ingekuwa rahisi

Lakini sijui nitampata wapi na kama ikiwa bado yuko hai.

Jamani jitahidini sana kuwatendea watu mema katika haya maisha.

Hata ikiwa hauwezi kuwatendea mema basi usiwatendee mabaya.

Usiwaumize watu

Unajua unaweza ukajiona mjanja hii leo kwa kufanya jambo flani lakini watoto wako wakaja kulipa gharama kubwa.

Wema na ubaya ni akiba
Acha umsukule bas,
Akili yako inakutuma kua umeshaandika kila kitu?
Endeleeni kulipa tu kwa akili hizo.
 
Back
Top Bottom