Familia inaangamia kwa UKIMWI...

Familia inaangamia kwa UKIMWI...

Dear Annina, I am not sure how you will handle this information, wengine wanatukana,, kusonya au kubisha, ila mimi nasema ukweli wa nililoliona kwa macho yangu, kupapasa kwa mikono yangu!

Kuna wagonjwa ambao nimewaona wakipona ugonjwa huu kwa jina la Yesu. Nilikuwa katika timu ya maombezi nikiwa Tz, kuna wagonjwa walikuwa wakija kanisani hawawezi kabisa, baada ya maombi wakapona kabisa, wengine huwezi hata kuwatambua tena kuwa walikuwa wanaumwa.Kuna mchungaji anaitwa Tosha yuko Mwanza yeye ndiye alileta hii semina na watu tukaiweka katika practise

Nimesema nimeona kwa macho yangu maana pale kanisani walipoanza kuombewa wagonjwa wa awali baadaye kanisa likabadilika na kuwa kituo cha wagonjwa, wengi walikuja na wengi walipona, wako ambao hawakupona, I can not say anthing about that, wako walioombewa na kwa bahati mbaya wakafariki ila wengi wao walikuwa wanakuja too late wakati ubongo umeshashambuliwa kiasi cha mtu kutokuwa na imani au kutoelewa unamweleza nini.

Nakuambia ili hao ndugu 2 wawe mashuhuda wa matendo makuu ya Yesu faida watakazopata.

1. watapata kuona na kushuhudiwa bila uoga na wenzao waliokuwa wakiumwa ukimwi hapo awali na wakapona
2. hawatakuwa discriminated kutokana na kuona wenzao wote ni wa aina hiyo

3. watapata tumaini jipya

Narudia, nasisitiza ninachoongea hapa si fiction is reality with my degrees in engineering; I do believe Jesus heals, Nasema hivyo kwa sababu watu huwa hawaamini, mwanzoni hata mie sikuwa naamini mpaka nilivyokuwa mmoja wa waombezi; wako waliokuwa rafiki wa karibu wakaombewa wakapona, wakapima majibu negative na leo wameolewa na kuoa,

wako wanaopima na kukuta negative, wako wanaopima na kukuta bado wana wadudu, japo hali zao zimebadilika; wako wasiotaka kabisa kupima na kuamini wamepona na kweli unaona hali zao. Hii inatokana na tofauti ya Imani, kwani pastors ni initiators tu wa imani ya uponyaji, they are not expert of healing!

Kuna watu walienda hawatembei, wamebebwa, dhaifu, magonjwa yote ya ukimwi, lakini tukaona wanabadilika na furaha na tumaini lao la kuishi kurejea tena. for those 2 people najua watakuwa mashuhuda wakisema ni ''sisi tu tumepona kuleta habari''

Dear Annina it is certain a new thing, unbelievable and you may shock you as well.But believe, I am not drunk! my senses are working perfectly beyond doubt, I am not dreaming either! I am telling something that my n-a-k-e-d eyes saw!. Please be one of people who will witness this in this very world!

Kanisa hilo liko changanyikeni mbuyuni, nyuma ya chuo kikuu cha DSM simu ya mchungaji ni 0754 454517.Mimi siko hapo, niko Canada hivi sasa. hakuna gharama zozote! wakifika watapokelewa na kuhudumiwa!

Just convince them to go, give them this number let them see this pastor and I am sure their agony of fear and pain will be history! I guess you want this!
Asante Waberoya taarifa ni msaada kwa wengi. Hapa pia JF does more than ukumbi wa kupiga soga. Hapa JF inajielekeza katika uokozi wa maisha ya watu, sio kiroho tuu, hata kimwili katika uponyaji.
Mungu akubariki sana.
 
[B said:
Kinyamana[/B];768668]mkuu waberoya,mungu akubariki sana.nimefurahishwa na ushuhuda wako kuhusu uponyaji wa wagonjwa wa ukimwi na ninapenda kuungana na wewe kuwaambia wapendwa wengine kwamba mungu anaweza na hakuna ugonjwa wala tatizo ambalo ukilipeleka mbele za mungu kwa kuomba huku uliwa na imani litashindikana.nimeona mengi katika maisha yangu yanyoonyesha ukuu wa mungu ktika maisha yetu. Naomba niseme tu kwamba damu ya yesu ina nguvu katika uponyaji na inaponya magonjwa yote.
.
Kinyamana turejee darasani somo la kuandika/lugha darasa la tatu, majina ya watu, huanza kwa herufi kubwa. Pia jina la Mungu, ni jina kuu kuliko yote, huandikwa kwa herufi kubwa kama heshima/sifa na utukufu sambamba na la Mwanaye mpendwa wake, Yesu.

Tena Kiislamu ukilitaja jina la Mungu, hutanguliza sifa ya Mwenye Enzi Mungu, na humalizia na sifa ya Subhana Wataala (SW), vivyo hivyo kwa Muhamadi hutanguluza sifa ya Mtume na mwisho humalizia na sifa ya Salaallau Aley Wasalaam (SAW).
 
kisayansi inakataa augment kwamba ukimwi ukiingia kwenye familia wote mnapukutika...but my take is familia ya hivyo imeshamiri kwa uzinifu ndo maana

omba radhi ndugu yangu..umefanya unyanyapaa..kwani UKIMWI hauna mwnyewe..kuna wengi hawana hatia wanapata ukimwi ..just kwa kuzaliwa na wazazi wenye ukimwi....kuna kina mama wanapata ukimwi just kwa kuletewa na waume zao[ambao pia inawezekana wameupata bahati mbaya ..kwa kuongezewa damu etc]...kuna wanaopata maambukizi ie wazee kwa ajili ya kuuguza watoto wao....bila kuvaa gloves ..wanawauguza vidonda kwa upendo wa mzazi..wazee wengi mama zetu hawakubali kumvalia mtoto wake wa kumzaa gloves..wana upendo wa kimama uliopitiliza[mkeo anaweza kukuonea kinyaa lakini kamwe si mama yako]..sasa huwezi kusema wote wenye ukimwi ni waashirati....kwani uashirati ni moja ya njia ya kuambukiza...tuwe na moyo wa huruma...!
 
Waberoya you have said it, ni suala la imani pia. Ni kitu ambacho kimeishawaingia hata akilini mwao. Na ni kweli watu wanapona zaidi anapata matumaini kwa njia ya wokovu. Washauri hivo, mie nimeishawauguza karibu watatu kwa mikono yangu hadi kunifia mikononi sijapata huo ugonjwa lakini ndio unakuwa careful. Sidhani kuwalisha kuwaogesha kuwafulia ni risk, lakini katika tunamtegemea Mungu kwani hakuna lisilowezekana kwake kwa anayeamini.
Dear Annina, I am not sure how you will handle this information, wengine wanatukana,, kusonya au kubisha, ila mimi nasema ukweli wa nililoliona kwa macho yangu, kupapasa kwa mikono yangu!

Kuna wagonjwa ambao nimewaona wakipona ugonjwa huu kwa jina la Yesu. Nilikuwa katika timu ya maombezi nikiwa Tz, kuna wagonjwa walikuwa wakija kanisani hawawezi kabisa, baada ya maombi wakapona kabisa, wengine huwezi hata kuwatambua tena kuwa walikuwa wanaumwa.Kuna mchungaji anaitwa Tosha yuko Mwanza yeye ndiye alileta hii semina na watu tukaiweka katika practise

Nimesema nimeona kwa macho yangu maana pale kanisani walipoanza kuombewa wagonjwa wa awali baadaye kanisa likabadilika na kuwa kituo cha wagonjwa, wengi walikuja na wengi walipona, wako ambao hawakupona, I can not say anthing about that, wako walioombewa na kwa bahati mbaya wakafariki ila wengi wao walikuwa wanakuja too late wakati ubongo umeshashambuliwa kiasi cha mtu kutokuwa na imani au kutoelewa unamweleza nini.

Nakuambia ili hao ndugu 2 wawe mashuhuda wa matendo makuu ya Yesu faida watakazopata.

1. watapata kuona na kushuhudiwa bila uoga na wenzao waliokuwa wakiumwa ukimwi hapo awali na wakapona
2. hawatakuwa discriminated kutokana na kuona wenzao wote ni wa aina hiyo

3. watapata tumaini jipya

Narudia, nasisitiza ninachoongea hapa si fiction is reality with my degrees in engineering; I do believe Jesus heals, Nasema hivyo kwa sababu watu huwa hawaamini, mwanzoni hata mie sikuwa naamini mpaka nilivyokuwa mmoja wa waombezi; wako waliokuwa rafiki wa karibu wakaombewa wakapona, wakapima majibu negative na leo wameolewa na kuoa,

wako wanaopima na kukuta negative, wako wanaopima na kukuta bado wana wadudu, japo hali zao zimebadilika; wako wasiotaka kabisa kupima na kuamini wamepona na kweli unaona hali zao. Hii inatokana na tofauti ya Imani, kwani pastors ni initiators tu wa imani ya uponyaji, they are not expert of healing!

Kuna watu walienda hawatembei, wamebebwa, dhaifu, magonjwa yote ya ukimwi, lakini tukaona wanabadilika na furaha na tumaini lao la kuishi kurejea tena. for those 2 people najua watakuwa mashuhuda wakisema ni ''sisi tu tumepona kuleta habari''

Dear Annina it is certain a new thing, unbelievable and you may shock you as well.But believe, I am not drunk! my senses are working perfectly beyond doubt, I am not dreaming either! I am telling something that my n-a-k-e-d eyes saw!. Please be one of people who will witness this in this very world!

Kanisa hilo liko changanyikeni mbuyuni, nyuma ya chuo kikuu cha DSM simu ya mchungaji ni 0754 454517.Mimi siko hapo, niko Canada hivi sasa. hakuna gharama zozote! wakifika watapokelewa na kuhudumiwa!

Just convince them to go, give them this number let them see this pastor and I am sure their agony of fear and pain will be history! I guess you want this!
 
Hawa watu ni wastaarab angalau kwa kadri ya ufahamu wangu - hasa watoto, inasikitisha sana wanavyokwisha wakijiona, kwa vyovyote baada ya misiba 2 ya mwanzo watoto watakuwa walijitahidi kuwa makini zaidi (busara ya kawaida) lakini bado wameambukizwa na vilio vinaendelea

Annina
Kuna pia uwezekano wa kuambukizana wakati wanafamilia wanahudumia wenzao ambao wamekwisha kuwa taabani hasa kama hawakuwa makini katika kutumia zana kama gloves.
 
Nadhani kuna uwezekano huo pia... kwa maisha yetu ya kitanzania ni hatari kubwa maana wengi tunauguzana nyumbani. Wengine wanauguzwa na wazee au watoto wadogo wasiojua hata mgonjwa anaumwa nini na afanye nini kujikinga - walioangalia "ukimwi ni huu" watakumbuka mtoto wa miaka 8 aliekuwa akimuuguza mama yake na mdogo wake kule makete.

Asante sana,

Annina
 
Dear Annina, I am not sure how you will handle this information, wengine wanatukana,, kusonya au kubisha, ila mimi nasema ukweli wa nililoliona kwa macho yangu, kupapasa kwa mikono yangu!

Kuna wagonjwa ambao nimewaona wakipona ugonjwa huu kwa jina la Yesu. Nilikuwa katika timu ya maombezi nikiwa Tz, kuna wagonjwa walikuwa wakija kanisani hawawezi kabisa, baada ya maombi wakapona kabisa, wengine huwezi hata kuwatambua tena kuwa walikuwa wanaumwa.Kuna mchungaji anaitwa Tosha yuko Mwanza yeye ndiye alileta hii semina na watu tukaiweka katika practise

Nimesema nimeona kwa macho yangu maana pale kanisani walipoanza kuombewa wagonjwa wa awali baadaye kanisa likabadilika na kuwa kituo cha wagonjwa, wengi walikuja na wengi walipona, wako ambao hawakupona, I can not say anthing about that, wako walioombewa na kwa bahati mbaya wakafariki ila wengi wao walikuwa wanakuja too late wakati ubongo umeshashambuliwa kiasi cha mtu kutokuwa na imani au kutoelewa unamweleza nini.

Nakuambia ili hao ndugu 2 wawe mashuhuda wa matendo makuu ya Yesu faida watakazopata.

1. watapata kuona na kushuhudiwa bila uoga na wenzao waliokuwa wakiumwa ukimwi hapo awali na wakapona
2. hawatakuwa discriminated kutokana na kuona wenzao wote ni wa aina hiyo

3. watapata tumaini jipya

Narudia, nasisitiza ninachoongea hapa si fiction is reality with my degrees in engineering; I do believe Jesus heals, Nasema hivyo kwa sababu watu huwa hawaamini, mwanzoni hata mie sikuwa naamini mpaka nilivyokuwa mmoja wa waombezi; wako waliokuwa rafiki wa karibu wakaombewa wakapona, wakapima majibu negative na leo wameolewa na kuoa,

wako wanaopima na kukuta negative, wako wanaopima na kukuta bado wana wadudu, japo hali zao zimebadilika; wako wasiotaka kabisa kupima na kuamini wamepona na kweli unaona hali zao. Hii inatokana na tofauti ya Imani, kwani pastors ni initiators tu wa imani ya uponyaji, they are not expert of healing!

Kuna watu walienda hawatembei, wamebebwa, dhaifu, magonjwa yote ya ukimwi, lakini tukaona wanabadilika na furaha na tumaini lao la kuishi kurejea tena. for those 2 people najua watakuwa mashuhuda wakisema ni ''sisi tu tumepona kuleta habari''

Dear Annina it is certain a new thing, unbelievable and you may shock you as well.But believe, I am not drunk! my senses are working perfectly beyond doubt, I am not dreaming either! I am telling something that my n-a-k-e-d eyes saw!. Please be one of people who will witness this in this very world!

Kanisa hilo liko changanyikeni mbuyuni, nyuma ya chuo kikuu cha DSM simu ya mchungaji ni 0754 454517.Mimi siko hapo, niko Canada hivi sasa. hakuna gharama zozote! wakifika watapokelewa na kuhudumiwa!

Just convince them to go, give them this number let them see this pastor and I am sure their agony of fear and pain will be history! I guess you want this!

Uko deep sana mkuu wangu, sasa nauliza je, wakishapona, halafu wakaanza kuacha imani (hata kama hawazini tena, na wanajikinga na risk factors) watabaki negative??

Ni kwa nini tunatumia all these resources wakati medicine ya ukimwi ni rahisi hivyo?
 
Dear De Novo,

I pray to God so that you and I we may understand HIM.

Yesu alivyowaponya aliwaambia 'mmepona enendeni msitende dhambi tena'! kumbuka uponyaji huu ni wa supernatural power, unapoona muujiza kama huu unakutokea lazima na wewe unakubadilisha kiroho. Just Imagine ulikuwa na virusi unaambiwa umepona! sitegemei kama huyu mtu na akili zake anaweza kurudia tena kufanya dhambi

Wakati unaponywa ni nguvu za Mungu zinatawala, wakati unarudia dhambi tena ulinzi wa Mungu unakuwa haupo badala yake unakuwa prone to any satanic attack, biblia inasema hali ya pili inakuwa mbaya kuliko ya kwanza.

Ukipona kabisa na kuacha imani bado uponyaji unakuwepo palepale, kumbuka wakati mwngine Mungu anafanya miujiza si kwa ajili yako bali kwa wanaozunguka pia. uponyaji ni zawadi hivyo ukipata hata kama unarudia tena dhambi bado uponyaji wako hupo pale pale. Hatari ni kuwa unapofanya tena dhambi no matter unatumia condom, kwa sababu mambo haya yalianza spiritual(kwa kupona) basi hata shetani anakuja spiritual kuku- attack tena, madhara yake ndiyo tunaona kimwili

Kumbuka wakati unatubu dhambi na kuomba kwa Mungu, kiasi cha imani kinategemea na background yako; kwa mfano hata kama Mungu anasamehe; mtu aliyeua anajihukumu zaidi kuliko aliyeiba kijiko!Imani inapunguzwa sana na kujihukumu na usipokuwa na imani hauponi; kwa hiyo huyu mtu aliyepona mara ya kwanza akarudia dhambi kurudia tena kuombewa ni kazi sana, kwani yeye mwenyewe anaweka wigo wa imani; Imani sio rahisi sana kama unavyofikiri ni ngumu pia.

Ndiyo maaana naona ugumu sana kwa mtu aliyepona ukimwi kurudia dhambi! well namjua kijana mmoja alifanya hivyo, alichofanya ni kuliza watu kanisani baada ya kusema alipona akarudia tena kufanya mchezo ule ule! walichofanya watu ni kulia tu na kumuonea huruma, kumbuka Mungu anasamehe na yupo palepale ila kupona tena kwa kweli siwezi kueleza kwa uhakika sana kama atapona tena au la! ninavyojua yeye mwenyewe ndiyo atakuwa anajihukumu hivyo kukosa imani.

kweli gharama ya kupona ni rahisi, ila wengi hawaamini na wanakuona mjinga, but is real cheap.

Kumbuka swali lako linasema ukiacha imani na usizini; uponyaji halisi unabaki real hata kama hautaendela tena na hiyo imani! japo inashauriwa kuendela kubaki katika imani.

DSM umeshawahi kumuona mtu aliyeombewa na akapona kabisa na kila siku mkawa mnaishi naye? wapo wengi tu ila sio kama baadhi ya makanisa wanavyotangaza; so uwe mwangalifu na aina ya imani , kuna wachungaji wao wamejiita expert wa kuponya! ukiwauliza tuonyeshe uliyemponya mwaka jana hana wa kukuonyesha.

Kuna sehemu Yesu aliwaponya wakoma akasema nendeni mkajionyeshe kwa makuhani, wapo walipona, wanaonekana na ni hakika, hata kama wataacha imani , bado wanabaki vile vile na uzima wao!

sijui kama nimekujibu

stay blessed
 
Back
Top Bottom