Familia iko busy!

Familia iko busy!

Zamaulid

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
20,340
Reaction score
16,799
1958330_852616251434694_2063944910_n.jpg
 
Haka kitoto kichanga kinaanza kujifundisha kimtandao sasa hapo akiwa kijana ndio atakuwa ni hatari sana na siri zote za inchi za marikani israili na urusi zitakuwa anazijua yeye tu na atakuwa tajiri sana kwa ugunduzi wake na sisi huku ugunduzi wetu ni bangi na ukibaka tu na usanii wa kudokoa mabenki na misifa tele
 
Hadi dunia itatushangaa baada ya miaka 10 ijayo maana tutakuwa tumeshau hata kuongeza idadi yetu kwa ubize wetu
 
Hadi dunia itatushangaa baada ya miaka 10 ijayo maana tutakuwa tumeshau hata kuongeza idadi yetu kwa ubize wetu
mkuu hapo kwenye kusahau kuongeza idadi ya watu hatutafikia!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom