officialBossmtoto
JF-Expert Member
- Jul 1, 2019
- 369
- 1,178
Wasaaaalam wana jamvi. Nilitamani sana uzi huu ungeandikwa na [mention]Mshana Jr [/mention] lakini acha nililete mimi mwanakwetu kanjanja.
Nimeikuta hii huko mitandaoni
Falme za Kiarabu (Ghuba za Uarabuni) zimejizatiti kuhakikisha zinamiliki maeneo makubwa ya wazi kwenye nchi za Africa kwa ajili ya kuweza kupata shehena ya mazao ya kuweza kuendelea kulisha wananchi wake.
Hii ni documented video ikijadili kwa juu juu tu jinsi UAE inavofanya shughuli zake za kilimo nchini Sudan.
Unaambiwa kampuni ya JENAAN inamiliki eneo lenye ukubwa wa zaidi ya KILOMETA ZA MRABA 2800. Kwa wale tuliozoea hesabu za Heka (Acres) hizo ni karibia hekari 700,000.
View attachment 2256652
Baadhi ya Raia wamekua wakilalamika na kukosoa miradi hii wakisema ni miradi kandamizi na inadhoofisha uchumi wa nchi yao kwani faida yote hubebwa ma kupelekwa arabuni.
Wapo pia waliolaumu kunyang’anywa makazi yao, sehemu ambayo waliishi vizazi na vizazi ila waliondolewa ili kupisha miradi hii.
Leo tujifunze hili. Dunia ina miaka Mingi sana na kila siku inazidi kupata uzoefu wa mengi. Tuliambiwa tusimuamshe alolala, ila skuizi ukilala kidogo unafumbwa na pumzi ufe kabisa.
SIO NAKALA ZANGU MIMI NIMEWASILISHA TUU KUTOKA KWA VYANZO VIFUATAVYO
1) Sucked Dry
2) UAE has over 2,800 sq km in Sudan farms
3)Video tuliopost hapo juu.View attachment 2256653