Renegade
Platinum Member
- Mar 18, 2009
- 7,472
- 7,429
Sasa hivi hutaki tena kufundisha!! Anyway nafuraia kuwa mwanafunzi wako hapa jf.Hahahha...kwanini Renagade?!
Nilikua nafundisha twisheni back in the days...
Sasa hivi hutaki tena kufundisha!! Anyway nafuraia kuwa mwanafunzi wako hapa jf.Hahahha...kwanini Renagade?!
Nilikua nafundisha twisheni back in the days...
Lo! Mitihani Hapana, Kwa Umri huu mambo ya kuzungusha hayafai! Si unajua zile story tunazowazingua nyumbani? Watashtuka, Kuonekana kilaza uzeeni no!! Please ! Confidence itashuka.I guess bado nafundisha bila kuitwa mwalimu..
Hehehehe niwe naandaa mitihani nini kabisa?!
Hahahaha GeeCee namba 8 wewe inakuhusu?!
Mimi namba 3 hainisumbi sana..sema kuna wakati inabidi ikae chonjo kidogo.
Alafu namba 12 mbona rahisi sana?!Hata kumwambia asante kwakunipikia/nipa kitu fulani inatosha kabisa.
Wagumu wagumu haswa Naima.
Tatizo ni mashindano...watu hua wanasahau kwamba mtu uliye nae kwenye mahusiano sio mshindani wala adui bali ni mwenzi. Matokeo yake maneno kama POLE...AHSANTE...SAMAHANI hayatolewi kwasababu ADUI ATAONA AMESHINDA.
Nauliza wewe kiswahili umesomea wapi? Vipi utaendelea kumpenda mtu bila ya wewe kumuonyesha unampenda.
Hakuna love ya kulazimisha hata mimi naongelea naturally kama navyo jua...ukipenda huwezi kuchukia na ukichukia huwezi kupenda, sasa sijui tuseme nini ngoja tuombe msaada :biggrin:Anaongelea jambo lililokuja natarally la kumpenda mwenza... Hilo lisipotee,liendelee kwa njia hizo hapo juu..
Wewe unaonekana unaongelea kitu cha kupangilia kuwa nimwoneshe nampenda kwa kuwa wanaopendana huonekana wakifanya mambo fulani,nami niyaige hayo aone nampenda..
Umeona tofauti...?
Kipipi hivi na wewe unajua mapenzi au unajifunza bado :biggrin:Dah.....mi nina swali ila naogopa kuswalika kwa sababu leo nipo serious sana!!! Lol
Kipipi hivi na wewe unajua mapenzi au unajifunza bado :biggrin:
15. SAMEHE (Zinagatia pia No.6&8 juu): Kwa kuwa hakuna mkamillifu, ukikosewa samehe (ikitegemea na aina ya kosa). Sio tena makosa madogo ya kawaida unayajengea mnara wa kumbukumbu.Falling in love...
Kabla ya kumuweka mtu mikononi sauti yake tu inaburudisha akili, moyo na mwili...akiongea unatamani asimalize. Kila anachosema kinakukaa akilini, utani wake unachekesha na maneno matamu yanakuingia. Mkifikia kwenye kugusana, kushikana mikono tu kunatoa raha ya kipekee. Ukimuwaza/fikiria/kumbuka tabasamu na utulivu moyoni vitawala.
Ukisikia kakuongelea sehemu basi raha tupu alimradi kakuongelea kwa uzuri.
1. Get him/her to miss you...and you to miss him/her.
2. Let him/her be who he/she is.
3. Be easy on them.
4. Talk to him/her about NOthing..SOMEthing and EVERYthing.
5. Take him/her NOwhere..SOMEwhere and EVERYwhere.
6. Mpe nafasi....
7. Ongoza..
7. Usiwe mlalamikaji sana.
8.Kumbuka....
9. Be a team player...
10. Be MORE of a lover and LESS of a mother/father.
11. Shukuru...
12. Mjulishe/mkumbushe umuhimu wake kwako.
13......
MPENDE...
MHESHIMU..
MUAMINI...
MTHAMINI...
MJALI...nk
14. USIJARIBU na kama tayari ACHA kumlinganisha na wanaume/wanawake wengine unaowafahamu/kutana nao unless yeye unamuweka juu. Kama hao wengine unawaona bora sana utaishia kumuona wako si lolote...si chochote.
15. SAMEHE (Zinagatia pia No.6&8 juu): Kwa kuwa hakuna mkamillifu, ukikosewa samehe (ikitegemea na aina ya kosa). Sio tena makosa madogo ya kawaida unayajengea mnara wa kumbukumbu.
16. JIAMINI (Zingatia pia 13 juu): Mbali na kumwamini mwenzako, inakupasa na wewe kujiamini pia. Isipokuwa katika mazingira tete, elewa kuwa yuko na wewe kwa sababu amekuchagua wewe. Kukosa kujiamni kunaweza kuzua na kuzaa wivu kupindukia ambapo ukizidi, unaweza kuwa kero na sababu ya kukorofishana.
17. WIVU (Zinagatia 16 juu): Ingawa inasemwa na ni hakika kuwa wivu ni ishara ya mapenzi, kuwa na kipimo cha wivu wako. Na zaidi isiwe wivu wa kutomwamini bali kumwonesha tu kuwa unamjali (bila ya kumkosesha raha na kumwadhiri).
18. TATUENI MATATIZO YENU WENYEWE: Isiwe tena suala dogo mnalitafutia washenga. Jengeni utamaduni wa kuzungumza, kujadili na kutatua matatizo yenu bila ya kuwashirkisha watu wa nje. Na pale inapobidi, washauri hao wawe wazazi/walezi wenu kabla ya shoga wala rafiki.
...........
...........
...........
Sasa takujua vipi na kitabu unacho mwenyewe, nikisha kisoma takueleza kama unajua au hujui :biggrin:hahahah......fazaa bana, kwani we unanionaje??
Sasa takujua vipi na kitabu unacho mwenyewe, nikisha kisoma takueleza kama unajua au hujui :biggrin:
Yeah nakubaliana na wewe kabisa ni kosa kubwa kutabiri, itabidi tusubiri mpaa tutakapo pewa result za uhakika..Dah......we jifanye mtabiri tu na jibu utapata fazaa!!