Na pia mkuu hao malaika hawawezi kuzaliana maake kwa mujibu wa kitabu cha Enoch,,Mungu aliwafanya wao kwa wao wauane na kizazi chao kisiwepo.na pia Mungu aliwaambia hao fallen angels kua wataona wapendwa wao yani hao watoto waliowapata kwa wanadam lakini hawatawamiliki wataona kuanguka kwakoSoma vizuri tena hicho kitabu mkuu.aliens hawawezi kua fallen angels kwasababu kwa mujibu wa kitabu hicho hao kina Azazel na samyaza walifungwa wanangoja ile siku kuu ya hukumu kwa wote