TGMT
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 379
- 514
Halafu walivyo vilaza wanasema ni Chui, hata kutofautisha Chui na Duma hawawezi.Taarifa sidhani kama nikweli ona picha ilipotolewa View attachment 1096451
Halafu walivyo vilaza wanasema ni Chui, hata kutofautisha Chui na Duma hawawezi.Taarifa sidhani kama nikweli ona picha ilipotolewa View attachment 1096451
Goba gani kukavu hivyo? Hio picha ya India
HahahaaaHana lolote Huyo kakimbia tu baridi huko polini kaja town kutafuta joto.
Simba alionekana Mbagala wakasema Mbagala porini. Chui kaonekana Goba wanasema katoroka zoo. Dunia tafadhali simama nishuke!😂 Atakuwa katoroka kutoka Zoo iliyopo ununio..!!
Ya matank sina uhakikaHiyo ya matank nayo sio?
#FAKE NEWSLeo tarehe 13/5/2019 chui ameonekana eneo la kiburugwa- Goba jirani na shule ya msingi Precious barabara iendeyo Lastanza.
Ni rai kwa wazazi kuchukua tahadhari na mlio karibu na uongozi wa shule hiyo ni vema mkawafikishia taarifa hizi ili wachukue tahadhari kwa watoto wetu.
View attachment 1096444View attachment 1096444View attachment 1096445
Tuwe makini inawezekana kweliYa matank sina uhakika
Hakuna chuiTuwe makini inawezekana kweli
#FAKE NEWS
#FAKE NEWS
#FAKE NEWS
Hahaha punguza presha mpendwa hii story ni uwongo.🙆🙆🙆
Siku nikikutana nae ndio basi tena manake najua kwa mbio simfikii hata robo
Na iwe hivyo jamani manake kama yupo kweli hawezi kukaa eneo moja,unashangaa anatufikia hadi maeneo ya kwetu hukuHahaha punguza presha mpendwa hii story ni uwongo.
yani weweSi aende Majengo meupe akararue rarue kule
Kwa pumba hizi ndo maana nimekuwa addicted na JFYuko wapi nataka ni mfuge nyumbani kama paka chakula chake ntakua naya kamata malevi nayatupia kwenye cage ayatafune
Joanah muoga mimi pia niko dar ila siamini hii story kama kweli kwa Sasa angekuwa kashajeruhi mtuNa iwe hivyo jamani manake kama yupo kweli hawezi kukaa eneo moja,unashangaa anatufikia hadi maeneo ya kwetu huku
Rafiki yangu ni afisa mtendaji wa maeneo mpaka Sasa hawana taarifa hizo wala hakuna mtu aliyetangaza kitu Kama hicho.Mkuu ungetoa na sababu kwanini ni fake newz
yani wewe
Acha kudhalau walevi wewe ujui kuwa ndo wanakufanya ukienda kwenye kizahanati ukute hivo vi paracetamol. ? Ukigusa mlevi umegusa idara nyeti pale Tia-raei...Yuko wapi nataka ni mfuge nyumbani kama paka chakula chake ntakua naya kamata malevi nayatupia kwenye cage ayatafune