FAKE NEWS: Chui aonekana jijini Dar es salaam

FAKE NEWS: Chui aonekana jijini Dar es salaam

Status
Not open for further replies.
Jana nimeleta uzi hapa kuhusu chui kuonekana maeneo ya Goba watu wakashambulia na kusema ni fake news, nimeona mods wameufunga huo uzi. Sasa haya hapa mahojiano ya Mkiti wa serikali ya mtaa Kibururu ambako inasadikika chui ameonekana. Watu wa mitaa hiyo hasa shule ya Precious chukueni tahadhari achaneni na hawa muck know wa Jf
 
Dah kama sio ccm hili lisingewekana... Yani dar sasa inavutia mpaka wanyama wanarejea... Soon tutafungua zoo
nadhani tuanzishe zoo pale jangwani maana naona lile pori chatu wataanza kujaa, jengo la udart linaweza kutumika kama jengo la hifadhi pamoja na makumbusho ya mafuriko....mshana hebu fanya mambo yako yale umkamate huyo chui mzima mzima tumuweke jangwani watu watahama bila shuruti....
 
Naona chui anataka kujua radha ya wanyonge ambao jiwe kila siku anawashibisha na kuwatetea
 
nadhani tuanzishe zoo pale jangwani maana naona lile pori chatu wataanza kujaa, jengo la udart linaweza kutumika kama jengo la hifadhi pamoja na makumbusho ya mafuriko....mshana hebu fanya mambo yako yale umkamate huyo chui mzima mzima tumuweke jangwani watu watahama bila shuruti....
Chini ya ccm hakuna kinachoshindikana ngoja tufanye mambo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom