FAKE NEWS: Chui aonekana jijini Dar es salaam

FAKE NEWS: Chui aonekana jijini Dar es salaam

Status
Not open for further replies.
Bye bye pombe until further notice
Mwenzio kule Mbesa wilayani Tunduru Mkoani Ruvuma alivunja shingo.Nyie Wanaume wa Dar Nahisi leo Biashara ya Visado itafanyika kwa ajili ya kugeuza Choo.
 
Mjue kutofautisha chui na duma nyie mapopoma
 
Kuna watu wanadhani kuwa haiwez kuwa kweli labda kwa sababu ya picha. Any way forget about pics tahadhari imetolewa na serikali ya mtaa kwa wananchi wake kuchukua tahadhari
 
Huu ujumbe unasambaa Sana leo kwenye MA group mbalimbali ya what's app binafsi maswali ni mengi kuliko majibu.
Au ni yale mapichapicha ya kama clip ya gwajima ili mradi tuwe busy na habari za kila siku???
 
Habari zenu ndugu wajumbe,TAARIFA KWA WANA KIBULULU,OFISI YA SERIKALI YA MTAA INAPENDA KUWATAARIFU WANANCHI WOTE KUWA KUNA CHUI AMEONEKANA MAENEO YA ZONE "C"KWA PROF.MSANJILA,HIVYO TUWE NA TAHADHALI WAKATI TUNAWASUBILI MAMLAKA HUSIKA KUFIKA NA KUCHUKUA HATUA ZA HARAKA.

*Note*; Kibululu ni Goba yale maeneo kupita La Stanza, Precious School km unatokea Makongo.View attachment 1096330
Huko Goba hamna mvua? Picha ya India hio
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom