FAKE NEWS: Chui aonekana jijini Dar es salaam

FAKE NEWS: Chui aonekana jijini Dar es salaam

Status
Not open for further replies.
Hapo wanaume wa Dar utasikia wanaingia ndani saa 12 jioni na kulala huku wamejikunyata ka simbilisi! Ha ha haa

Sie huku kwetu mkiti angepiga ngoma, then tunaunda kikosi kazi, tunamsaka huyo chui, tunakamata na kumrudisha porini ili akawafaidishe watalii!!!
 
Taadhari wanaume wa dar wasije huku Kuna wazee wa kazj
IMG-20190513-WA0025.jpeg
 
Hapo wanaume wa Dar utasikia wanaingia ndani saa 12 jioni na kulala huku wamejikunyata ka simbilisi! Ha ha haa

Sie huku kwetu mkiti angepiga ngoma, then tunaunda kikosi kazi, tunamsaka huyo chui, tunakamata na kumrudisha porini ili akawafaidishe watalii!!!
yaani kama maliasili hawajaonesha maiti ya huyo chui jiji litafungwa..pigia na mvua hii wanalialiaaaaa
 
Mbona ardhi inaonekana kavu mnooo, ilihali Dar kuna mvua kubwa karibu wiki sasa, hii ni picha ya zamani au Goba hakuna mvua?
 
yaani kama maliasili hawajaonesha maiti ya huyo chui jiji litafungwa..pigia na mvua hii wanalialiaaaaa
Kila mfanyakazi wa serikali wa Dar ataomba uhamisho wa kwenda Dodoma haraka hata Kama alikataa kwenda Kama huyo chui hatapatikana!!!
 
Kila mfanyakazi was serikali wa Dar ataomba uhamisho wa kwenda Dodoma haraka hata Kama alikataa kwenda Kama huyo chui hatapatikana!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
huku tarime leo tungekua na uhakika wa kupata kitoweo cha nyama pori

wakija maliasili wanaambulia manyoya na kuona alama za nyayo
 
Hii 'Chuo' ni mihemko ya kutaka kuonekana wa kwanza kutoa taarifa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom