Fake but beautiful VS Ugly but natural

Fake but beautiful VS Ugly but natural

Kwa hiyo mdada hastahili kuitwa mrembo mpaka awe na kucha za bandia, nyusi na kope za bandia, mkorogo na makalio ya mchina!? Akitengeneza nywele zake vizuri na akiweka hereni zake nzuri, gauni la kuvutia na viatu vizuri kuitwa mrembo ni kosa?

Kwanza siyo kila kitu cha bandia ni urembo kwa mwanamke...urembo usiyo wa mpangilio ni uchafu na ni hatari pia.
Vitu kama mkorogo,makalio ya mchina,kope za bandia kwangu mimi hivyo si urembo...bali ni uchafu na hatari pia. Ila mwanamke akishonewa weaving mzuri,akisukwa rasta mzuri au akivaa lace wig mzuri alafu akabandikwa kucha au kupakwa rangi ya kucha vizuri kiukweli anapendeza sana na anaweza kuitwa mrembo.
BAK, hivi nywele natural itatengenezwa vipi vizuri ili ipendeze? Labda aiweke kwanza relaxer then ifanyiwe flat iron...lakini vinginevyo hauwezi kuitengeneza kwa chochote zaidi ya misuko ya twende kilioni au kuzikata mara kwa mara pale zinapochomoka. Alafu ukivaa nguo na zikakutoa huwezi itwa mrembo bali utasifiwa kuwa umependeza.

Narudia tena...kuna tafauti kubwa sana kati ya uzuri na urembo.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwani nini kipimo cha ubaya au uzuri wa mwanamke?

Unaangalia sura na shepu. Kuna walio bahatika wamepata vyote viwili...na kuna waliopata kimoja wapo kati ya hivyo viwili.
Ila pia kuna waliokosa vyote viwili. Hawa ndio uitwa wabaya a.k.a makobaa.
 
Oh! basi kama ni hivyo basi Mwanamke huyo huyo anaweza kusuka nywele zake za kuzaliwa vizuri tu, akapaka rangi ya kucha kwenye kucha zake za kuzaliwa nazo, akapaka wanja katika nyusi zake za kuzaliwa kisha akajisiliba 🙂🙂 lipstick ya mbali huyu naye anaweza kuitwa mrembo. Je, kwa kuwa hana nywele na kucha za bandia haingii kwenye kundi la warembo huyu!?

Kwanza siyo kila kitu cha bandia ni urembo kwa mwanamke...urembo usiyo wa mpangilio ni uchafu na ni hatari pia.
Vitu kama mkorogo,makalio ya mchina,kope za bandia kwangu mimi hivyo si urembo...bali ni uchafu na hatari pia. Ila mwanamke akishonewa weaving mzuri,akisukwa rasta mzuri au akivaa lace wig mzuri alafu akabandikwa kucha au kupakwa rangi ya kucha vizuri kiukweli anapendeza sana na anaweza kuitwa mrembo.
BAK, hivi nywele natural itatengenezwa vipi vizuri ili ipendeze? Labda aiweke kwanza relaxer then ifanyiwe flat iron...lakini vinginevyo hauwezi kuitengeneza kwa chochote zaidi ya misuko ya twende kilioni au kuzikata mara kwa mara pale zinapochomoka. Alafu ukivaa nguo na zikakutoa huwezi itwa mrembo bali utasifiwa kuwa umependeza.

Narudia tena...kuna tafauti kubwa sana kati ya uzuri na urembo.
 
Oh! basi kama ni hivyo basi Mwanamke huyo huyo anaweza kusuka nywele zake za kuzaliwa vizuri tu, akapaka rangi ya kucha kwenye kucha zake za kuzaliwa nazo, akapaka wanja katika nyusi zake za kuzaliwa kisha akajisiliba 🙂🙂 lipstick ya mbali huyu naye anaweza kuitwa mrembo. Je, kwa kuwa hana nywele na kucha za bandia haingii kwenye kundi la warembo huyu!?

Ha ha haaaa BAK bwana...anyway acha nikuulize swali dogo tu. Unajuwa yale mashindano ya Miss Tanzania?
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahahaha lol! nayajua hayo mashindano.

Sawa, hivi umewahi ona kuna mshindi yeyote aliyewahi kunyakuwa lile taji akiwa na natural hair?...tokea limeanzishwa.

Then tutaendelea.
 
Alafu jiulize,kama una-tural ni mzuri kwanini hawa waandaaji na wadhamini hawajawahi kumuingiza mshiriki aliye natural hata kwenye kumi bora achilia kushinda hilo taji lenyewe??
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hilo usemalo ni kweli lakini kwa maoni yangu inawezekana kabisa kuvishwa taji lile ukiwa na nywele zako natural. Mbona wenzetu wazungu katika nchi zao wanashinda bila kuwa na nywele za bandia? Mwangalie Flavian Matata alivyopendeza hapa.
11095354_610291682435202_5001647165762231422_n.jpg

Sawa, hivi umewahi ona kuna mshindi yeyote aliyewahi kunyakuwa lile taji akiwa na natural hair?...tokea limeanzishwa.

Then tutaendelea.
 
Hilo usemalo ni kweli lakini kwa maoni yangu inawezekana kabisa kuvishwa taji lile ukiwa na nywele zako natural. Mbona wenzetu wazungu katika nchi zao wanashinda bila kuwa na nywele za bandia? Mwangalie Flavian Matata alivyopendeza hapa.
11095354_610291682435202_5001647165762231422_n.jpg

I am not a subject matter expert in this but one lil' birdie once told me that white people/ women wear weaves too.

The difference, I reckon, is that the weaves that they wear are very similar if not the same as their natural hair so it's not as easy to differentiate.
 
Ahsante sana...ndio maana kwa makusudi nikaamuwa kukupeleka shortcut ili uelewe kuwa ni kweli kuna tafauti kati ya uzuri na urembo. Ingekuwa u-natural ndio uzuri basi ungeshuhudia Miss Tanzania mmoja kuteuliwa kwenye hayo mashindano yote yaliyopita...ila kwa vile hakuna aliyewahi kushinda taji hilo akiwa natural maana yake ni kwamba kwenye dunia hii u-natural haulipi kama ilivyo kwa hip hop hasa barani Africa. Mwanamke mrembo ndio mpango mzima japokuwa wazuri sio kuwa ni wabaya.

Huyo Flavian Matata siyo mrembo bali ni mzuri tu...angekuwa mrembo angeshiriki na kushinda Miss World hapo angekuwa mzuri na mrembo pia. Alafu huyo msichana aliyepeana mgongo na huyo mzungu' hapo kichwani hizo siyo nywele zake bali kashonewa weaving lenye colour ya dark brown. Mwisho ningekuomba um-google miss world wa mwaka 2014 kama sikosei ni Mphilipino utaona kichwani ana weaving ndefu...na siyo huyo tu,karibia ya washindi wote wa Miss world wengi wao wameshinda hilo taji wakiwa na weaving au Lace wig kichwani bila kusahau urembo wa kucha.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
I am not a subject matter expert in this but one lil' birdie once told me that white people/ women wear weaves too.

The difference, I reckon, is that the weaves that they wear are very similar if not the same as their natural hair so it's not as easy to differentiate.

Ulichoambiwa ni kweli...wanawake wa America(weupe kwa weusi),wanawake wa Asia na Europe hao ndio watumiaji wakubwa wa hizi nywele za bandia na huko ndiko kulianzia haya mambo.
 
I am not a subject matter expert in this but one lil' birdie once told me that white people/ women wear weaves too.

The difference, I reckon, is that the weaves that they wear are very similar if not the same as their natural hair so it's not as easy to differentiate.
ni kweli wazungu asilimia kubwa wanavaa weave sana tu
 
Ila zinakuwa original like Remy Hair,Brazilian hair,Malasyan hair au Peruvian hair...wenyewe huwa upenda kuziita unprocessed hair. Lakini ni ghali sana hizi nywele.
si wazungu wote wanavaa original hata fake huko kwao zipo origina ni ghali sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom