Fake but beautiful VS Ugly but natural

Fake but beautiful VS Ugly but natural


Mwambie huyo, uzuri ni 'package', anaangalia angle moja tu.......atumie 3D.
Kama mimi, nimependa (napenda) namna unavyoji-position kama hapo kwenye avatar. Basi miye uzuri/urembo huo
napata faraja na akili yangu yaenda mbali miaka dahari.

Am humbled.

aipojiposition ?
duniani hakuna usawa wanawake wabaya wapo na wanaume wabaya tupo ni ujinga tu kujifanya hatuwaoni hao wanawake wabaya wakati nawaona wewe kama unashinda samaki samaki mlimani city na sehemu kama hizo huwezi kuwaona hao wanawake ambao ni wabaya
usibishe
 
Last edited by a moderator:
Mwanamke mzuri kwangu ni ambaye haniumizi kichwa,in short anayejua nafasi yake kwangu...Obviously huo urembo mwingine siu tilii maanani kihivyo, ingawa haimaanishi kwamba nitatembea na yoyote anayekuja mbele yangu!
 
Yah! Fake but beautiful
 

Attachments

  • vera-sidika-bleaching-photos.jpg
    vera-sidika-bleaching-photos.jpg
    7.1 KB · Views: 420
Hakuna mwanamke mbaya inategemea na position ya jicho lako.......binafsi napenda mtu akiwa na uasili wake.....
 
Pazuri ni pale kati kati ya miguu tu. Hizo sehemu nyingine uneweza hata ukazifunika. Unapokuwa pale kati hauoni uzuri wala ubaya. Zingine mwbembwe tu. Pale ndiyo panafanya ulie, ucheke, uhonge chochote, utengeneze chuki au furaha. Uugue uchizi.
 
Unapingana Na maamuzi ya muumba.....?????
 
Hakuna mwanamke mbaya inategemea na position ya jicho lako.......binafsi napenda mtu akiwa na uasili wake.....

Siyo kweli,wanawake wabaya kwa sura na shepu wako wengi sana...siyo kila sehemu tufunike kombe ili mwanaharamu apite.
 
Hahahhahahah....katika huyo mbaya je hana mtu au hajawah kuwa na mtu???

Kipimo cha mwanamke mbaya kuwa na mtu siyo kipimo cha kuonyesha yeye siyo mbaya...kwani ujui ule msemo wa wahenga Kipendacho roho ula nyama mbichi? Usikute na yeye atakuwa amempata kobaa(mbaya) mwenzake.
 
Wako wengi tu Mkuu. Hawa hawatumii nywele za bandia, hawatumii mkorogo, hawana kucha za bandia, wala makalio ya mchina, hawatumii nyusi na kope za bandia wala mazagazaga mengine lakini Mungu kawaumba wakaumbika mashallahu.

Ni kweli...ila wanaitwa wazuri na siyo warembo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kipimo cha mwanamke mbaya kuwa na mtu siyo kipimo cha kuonyesha yeye siyo mbaya...kwani ujui ule msemo wa wahenga Kipendacho roho ula nyama mbichi? Usikute na yeye atakuwa amempata kobaa(mbaya) mwenzake.

Hahhahahhahahhaha....ndo.maana tunasema hakuna mbaya ila inategemea na ww mwenyewe unaangalia nn...ww unawaona wabaya ila wao wanaonana ni wazur
 
Mie nawaona warembo...wakitengeneza nywele zao vizuri, kuvaa gauni lake zuri na viatu na kimkoba chake anapendeza na hivyo anastahili kuitwa mrembo, kuwa mrembo si lazima kutumia hayo mazagazaga mengine.

Ni kweli...ila wanaitwa wazuri na siyo warembo.
 
Hahhahahhahahhaha....ndo.maana tunasema hakuna mbaya ila inategemea na ww mwenyewe unaangalia nn...ww unawaona wabaya ila wao wanaonana ni wazur

Mkuu,kubali ukatae baadhi ya wanawake wabaya ni rahisi sana kuwapata kimapenzi kuliko mwanamke mzuri au mrembo na hasa kama atakuwa kuku wa kizungu...lakini mwanamke mbaya alafu awe kuku wa kienyeji ni rahisi sana kumpata.
 
Mie nawaona warembo...wakitengeneza nywele zao vizuri, kuvaa gauni lake zuri na viatu na kimkoba chake anapendeza na hivyo anastahili kuitwa mrembo, kuwa mrembo si lazima kutumia hayo mazagazaga mengine.

Ni sawa,wewe unaweza kuwaita warembo kwa vile kuna vitu fulani bado ujavielewa. Lakini baadhi ya wadau kama mimi ambao tunadili na hayo mambo hatuwezi kuwaita warembo...bali tunawaita wazuri. Urembo na uzuri ni vitu viwili tafauti.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa hiyo mdada hastahili kuitwa mrembo mpaka awe na kucha za bandia, nyusi na kope za bandia, mkorogo na makalio ya mchina!? Akitengeneza nywele zake vizuri na akiweka hereni zake nzuri, gauni la kuvutia na viatu vizuri kuitwa mrembo ni kosa?

Ni sawa,wewe unaweza kuwaita warembo kwa vile kuna vitu fulani bado ujavielewa. Lakini baadhi ya wadau kama mimi ambao tunadili na hayo mambo hatuwezi kuwaita warembo...bali tunawaita wazuri. Urembo na uzuri ni vitu viwili tafauti.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom