Fake alien invasion

Mish Albert

JF-Expert Member
Dec 25, 2015
657
581
Blue-beam-project-and-fake-aliens-invasion
hqdefault.jpg

project-blue-beam-satelite-2.jpg

"Without a Universal belief in New age religion,the success of the New world order will be Impossible"

Hi wana JI

Kuna hii tetesi ya Blue Beam project inayodai kuwa Illuminati wakishirikiana na NASA wanataka ku-fake Ujio wa pili wa Yesu kristo kwa kutumia Holographic images ambazo zitakuwa zikionyeshwa angani kwa msaada wa space-based satelite.

Mtanisamehe kwa kuchanganya lugha,lakini nilikuwa naomba kama kuna mdau yoyote hapa jamvini ambaye yupo aware na hii issue,atujuze jinsi itakavyofanya kazi

Ahsanteni!
 
Last edited:
Ndiyo NASA walitaka kufanya hii kwa kushirikuana na that pevert Billy Graham. It is like this,wanazionyesha hizi picha angani za Yesu kwa wanaomwamini Yesu. Wanaomwamini Budha,wanaonyeshwa picha ya Budha,anaongea nao kwa lugha yao. Na manabii wengine wengi. Baadaye hizi picha zote zinaunganika,zinakuja pamoja zinamuonyesha huyo tapeli anayetaka kuitwa mfalme wa dunia.
 
falcon mombasa said:
Hiyo hata kwenye group ya wasap ya jamiiintelligence tuliwahi kuijadili
Chief,tungejadili na hapa ingekuwa vyema zaidi

Siunajua,wengine sio wanachama wa hilo group.
 
Andrew Nyerere said:
Baadaye hizi picha zote zinaunganika,zinakuja pamoja zinamuonyesha huyo tapeli anayetaka kuitwa mfalme wa dunia.
Chief,hapo kwenye paragraph ya mwisho

Ni mfalme yupi,au ndio Antichrist?Na anakuja kwa lengo gani?
 
Haya pinga!

Kwanini unasema hayupo?
Kwasababu uwezo unaoongelewa juu yake ni tofauti na uhalisia uliopo. Kwa mfano mnasema yeye ndo muweza wa yote. Sasa jiulize kama yeye ni muweza wa yote. Je, uwepo wa shetani ni mpango wake?
 
Back
Top Bottom