Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,213
- 4,328
jamani muda sana bibi,sijui au mama...yetu mpendwa wa kuturekebisha tunapokosea kiswahili na kutuletea vifungu vya qur'an,pamoja na kutufundisha civics hajaonekana.kapotelea wapi jamani...ndugu wa karibu au yeye mwenyewe ajitokeze aseme nini kimemkumba,sio siri uwepo wake JF ni muhimu sana aseeee.miss you sana FaizaFoxy