FAIZAFOXY Vs PAW OR..............

FAIZAFOXY Vs PAW OR..............

Status
Not open for further replies.
Hiyo hesabu inabidi kudifferentiate either sides
 
Bado tu mmeshindwa kutoa jibu la mana!!

Nipeni mji!!
 
aisee yote kwa yote huyu maza mtata.samtaim ana ma-noleji ya kufa mtu.ila ni gamba la kudumu.

ushabiki wa siasa ni kama ushabiki wa timu. huyu anashangilia timu hii, yule anashangilia timu ile, MBONA HAMCHUKIANI?
Likija kwa chama, kwanini sasa unamchukia yeyote ambaye hayuko upande wako. Mnamsakama sana huyu mama, kiasi mmemjengea CHUKI KABISA. Kila mtu ana uhuru wake.
Mi mwenyewe siipendi CCM kabisa kabisa kabisa. Lakini hainifanyi nitukanane, na niwaandame wanaonipenda. Tubishane kwa HOJA. si KUCHUKIANA.
Ni hayo tu.
 
Paw/Faiza Foxy/Invisible = BIG X - Satisfied now?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom