FaizaFoxy Vs Nyani Ngabu...nani mshindi

Hii league inabidi iende mpka end of the year...kwa hizi posts chache hatuwezi fahamu nani zaidi!!!
Bado kuna magwiji wanausoma tu mtanange!!!

ahahahahahah
Hata sihitaji competition mshindi wangu namfahamu..
kura zangu kwake saa yeyote...
 
tutakimbiana hadi lini? Basi naomba tumfuate mzee mzima mwanakijiji kule kwenye siasa..tumpelekee huyu FF naona kwa mara ya pili mfulilizo mapambano yana kwama.na ya hacha madhara makubwa kwani hadi sasa mwita25 haonekani ni siku ya pili sasa na yoyo ana masaa 10 hayuko hewani.
Arifu siwezi kula kona kwa dogo Nyani Ngabu....nimempa uhuru achague topic yoyote an uwanja wowote tutunishiane misuli...nilichague Bongo radio najua pale atakamatika hawezi ku google urban diskshonare yake....
Haka ka Nyani Ngabu kapo kapo tu hata ku debate nako ni udhia mtupu.
Huyu namuweza mimi.....na english yake ya urban dikshonare.....
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom