yeh .. namkubali sana FF ila swala la madactari kachemka mabaya saana kuwaita uchwara
FF hana kitu. Anahaha kushoto na kulia ili kumwaga sumu. Ila sasa kapitiliza na watu wameshaanza kumpuuza kama Malaria Sugu. Itabidi aje na jina jingine maana hili watu wameshaanza kulichoka.
Ukianza kubishana naye, basi wee unakuwa Mpumbavu. Si mnakumbuka ule msemo?
Halafu ni mwepesi sana maana jana nilimvurumisha kwa maneno na wala hakujibu tena kitu.
Ukitaka kumpatia FF, basi jiingize kwenye ubongo wake na uanze kuongea kama yeye.
Ukijifanya una busara kwa FF eti unamuelimisha, basi unatwanga maji. Utamuelimishaje anayeelewa?
Ndiyo maana dr. Slaa anasema waziwazi kuwa FF anapotosha umma.
FF mpenzi, leo nimepata ubani wa nguvu bila Konyagi na Viagra pori. Ntafanya tena jaribio na kuchoma ubani na kukuita.
FaizaFoxy likes this.
Habari wanajamii?,sio siri huyu dada/mama Faizafoxy maarufu kama FF namkubali sana kwenye post na uachangiaji wake. Yaani kama nisipopata kitu basi ntacheka sana the way ana-comment,.hongera sana..kama hutajari pls ni-PM umri na elim yako.
tuhakikishie kwanza weye siye yeye
weye si yeye.
lakini yeye ni weye.
Ukianza shule mpya lazima utakutana na watu wababe wanaotumia nguvu kuwakubali na kuwaogopa;
Na ukitaka usalama wako ni lazima ujibendekeze.
Ndicho tunachokiona wageni JF wanaogopa maneno ya ukali na kutisha kwa hiyo wanaanza kujipendekeza.
FF kwa hili UMETISHA umeamua kujisifia. Teh teh.
We kwani hujawahi kuona Da Fayza akisifiwa au? Atajisif mara ngapi?FF kwa hili UMETISHA umeamua kujisifia. Teh teh.
Ukianza shule mpya lazima utakutana na watu wababe wanaotumia nguvu kuwakubali na kuwaogopa;
Na ukitaka usalama wako ni lazima ujibendekeze.
Ndicho tunachokiona wageni JF wanaogopa maneno ya ukali na kutisha kwa hiyo wanaanza kujipendekeza.
Huyo ni pimbi mzeee
kuna tym ana Fact balaaaa big kwa hilo !!!,ila uccm na unaniii wakati mwingine mmhhh
Hakunaga mwanamke kama Faiza.... hakunaga....
JF # 1 Celebrity Source: Faiza Mwenyewe.... Verified by response ya wana JF Wenyewe....
Faiza Foxy= F F
F- means Failure
F- means Female