Faiza Ally asikitishwa na kitendo cha Sugu bungeni

Huyu nae kuachwa aachwe kujibaraguza bado tu, haya mwiteni mke aliyetemw wa mbunge. Bila Sugu hana maisha...
 
kivazi.jpg
 
nachukia watu wanaojifanya wamemrudia muumba wao kipindi hiki cha ramadan alafu ikiisha wanaendelea na uchafu wao...kama huyu faiza
 
ishu ni kuendelea kumfatafata sugu mbona na yeye ni mpuuzi kuwaa mavazi ya ovyo mbele za watu si bora kidole kuliko kutembea makalio wazi na kuvaa mpampaz faiza anatakiwa kutuliza mshono kama ukichaa yeye ni zaidi ya sugu.

Kwa hiyo unafurahia matendo ya wote wawili wamfundishe mtoto wao?
 
Mnaongea saaaaaaaaaaaaaaaanaaaaaa lakini mjue Sugu ni baba sasha na huyo mama ni mama sasha,
Sijui wewe unaongea kama nani aseeee.
Ikumbukwe wapendanao wakigombana hupaswi uingilie kati waache wafanye yao
Mama sasha anamshauri baba sasha sijui we nae unaongea kama nani asee

Cha kushangaaza unapaniki kuliko sugu mwenyewe........
 
Back
Top Bottom