Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,502
- 9,281
ATAFUTE MWANAMUME AOLEWEFaiza Ally aliyekuwa mke wa mbunge wa mbeya mjini na mwanamuziki maarufu hapa nchini (Sugu) amesikitishwa sana kitendo kilichofanywa na mzazi mwenzio huyo bungeni baada ya kuonyesha kidole cha kati ambacho kinaaminika kuwa ni ishara ya tusi ndani ya ukumbi wa bunge. Mwanamama huyo amedhihirisha masikitiko yake kupitia ukurasa wake wa istragram kwa kupost picha muda mfupi tuu baada ya mbunge huyo kupewa adhabu na kamati ya maadili bunge leo ya kutohudhuria vikao 10 vya bunge kutokana na kitendo alichokifanya ndani ya bunge.
Faiza Ally aliyekuwa mke wa mbunge wa mbeya mjini na mwanamuziki maarufu hapa nchini (Sugu) amesikitishwa sana kitendo kilichofanywa na mzazi mwenzio huyo bungeni baada ya kuonyesha kidole cha kati ambacho kinaaminika kuwa ni ishara ya tusi ndani ya ukumbi wa bunge. Mwanamama huyo amedhihirisha masikitiko yake kupitia ukurasa wake wa istragram kwa kupost picha muda mfupi tuu baada ya mbunge huyo kupewa adhabu na kamati ya maadili bunge leo ya kutohudhuria vikao 10 vya bunge kutokana na kitendo alichokifanya ndani ya bunge.
Kuonyesha madole ya matusi ndio kuchapa kazi??Amuache Mbunge wetu achape Kazi. Wananchi wa Mbeya tupo nyuma yake
Umeona hapo nimeongelea ndoa ya mtu yeyote hapo au ni vipi?Ndoa isiyo kuhusu maneno ya nn
Tatizo hapa ni eneo alilofanya KITENDO sio TENDO.ishu ni kuendelea kumfatafata sugu mbona na yeye ni mpuuzi kuwaa mavazi ya ovyo mbele za watu si bora kidole kuliko kutembea makalio wazi na kuvaa mpampaz faiza anatakiwa kutuliza mshono kama ukichaa yeye ni zaidi ya sugu.
Umeona hapo nimeongelea ndoa ya mtu yeyote hapo au ni vipi?
Yes, na sisi huku Mbeya tumeshamzoea....ukimuuliza swali kama hana jibu unapata ishara ya dole.Kuonyesha madole ya matusi ndio kuchapa kazi??