asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
hahahah ila nakumbuka uliniquote kwa bold!!! hapo ndo ishu ilipoanzia...wanapingana na ukweli...eti prostitute ni yule wa kona bar wengine aaahhh..swali ni je huduma atoayo wa kona bar hao walo decent hawatoi??? au ishu ni location ya business na type ya customers....
wee enzi hizo blues za judy b basi mnkumbatiana hadi mnalala kifuani ama doly p basi tulikuwa tunaita kubembea lolest!
ilikuwa raha sana sana. mkumbato tu labda na kiss ila utakumbuka mwaka mzima na miaka yote unajua nina bf sehem lol!
1998 ulikuwa wapi?
1998 ulikuwa wapi?
namna wanavyoendesha biashara yao tu ,nahisi ndiyo tatizo
Ticha umetishaaa... Ciello njoo umuone ticha na enzi zetu zileee..
Mapenzi yalikuwa yale bwana..kitu barua kutoka weruweru inasomwa assemble..unalala unaisoma ucku mzima..lolest!!
duh! nipe shkamoo yangu a-level weruweruilboru o'level
Nilkuwepo old...wewe ndo yule alikuwa na 'aibu' saaana??
na nyie enzi zenu mtatisha tu.hahahahah ticha ametishaaaaa....
hhhhhahahha! tena ilikuwa ujiko kusomwa asembly barua halafu unakuta ni ya bf lol! hivi wajua card tulikuwa tunazipataje ili tuwatumie?/
tulikuwa tunatuma wagonjwa waliokuwa wanakwenda mjini kwaaajili ya kutibiwa basi ananunua kadi za love miss you lol! poket money yote unaimalizia kwa mtu ambaye humuoni zadi ya barua tu na kadi na tulikuwa tunaiman kweli na yale mapenzi.
imagine mtu yuko o school wewe uko weruweru anaish labda dar wewe unaish mosh lkn mnakuwa friends na siku ya disco unaomba ifike manake akija siku hiyo ni gud time uspime. mnastorisha mnacheza blues hadi unachanganyikiwa ila sijui ilikuje hatukuweza kabisa kuvuana chupi zaid ya kiss tu. ingawa disco lilikuwa linachezwa usiku.

duh! nipe shkamoo yangu a-level weruweru
ha ha ha ha ha! si unazipata nyingi sana shuleni hizo ticha! 98 ilboru tulienda ashira na weruweru mara 1,sijui nilikuona vile.
baada ya hapo nikatinga old moshi advance ,wadogo zako uliowaacha wanaweza kukusimulia story zangu hapo weruweru
haya bana ila maisha ya wakati ule yalikuwa na raha sanaduh! nipe shkamoo yangu a-level weruweru
ha ha ha ha ha! si unazipata nyingi sana shuleni hizo ticha! 98 ilboru tulienda ashira na weruweru mara 1,sijui nilikuona vile.
baada ya hapo nikatinga old moshi advance ,wadogo zako uliowaacha wanaweza kukusimulia story zangu hapo weruweru
haya bana ila maisha ya wakati ule yalikuwa na raha sana[/QUOTE said:sana ,huwezi kuamini tulikuwa tunazunguka weruweru ,ashira ,kibosho ,machame n.k kuanzia disco mpaka graduation tupo tunakodisha na hiace kabisa.........miaka yetu machame na kibosho ndiyo walikuwa na bifu juu yetu old ,hlf old na umbwe tulikuwa na bifu kuhusu watoto wa machame.
vipi nyie miaka yenu?
hahahahh ticha bana...mie pia nimecheza sana disco secondari na hatukuwahi vuana pichu kabisa....ila hali ya sasa imebadilika, ni vigumu mambo yaende kwa mtazamo uusemao wewe....otherws mtu utajikuta out of place aseee..ni lazima tuaccept changes na tudil nazo no matter wat....
Naenda church nikirudi humu Nakinukishaa kama sio Kulichokozaa! naanzisha mada ya 2012 MMU SEXIEST BACHELORS!!!!!!!! Na vigezo vyao! Nani na nani watakuwemo?????? Usikose kesho chrissmass hakuna kulala humu!
BWANA AWE NANYI!!!!!!!!