Faini ya Tsh 10,000 kwa kukojoa...

Kibunango

Platinum Member
Aug 29, 2006
8,440
2,300
choo%20misungwi.jpg
Hapo ni Misungwi Mwanza, iwapo utapatikana unatumia choo hicho hapo juu bila kulipa utapata faini ya buku kumi hapo hapo pasipo kufikishwa Mahakamani....

Image689.jpg
Adha ya Wafagiaji wa barabara jijini Mwanza ni kama inavyojionyesha hapo juu. Imefika wakati wafagizi wa barabara katika Majiji yetu wakawa wanafagia barabara wakati wa alfajili wakati hakuna magari mengi njiani..
 
Back
Top Bottom