Fainali ya CAFCC isipopigwa Taifa, Serikali itoke hadharani kuomba radhi

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,774
Reaction score
35,994
Serikali isipumbaze watu ati wanahujumiwa na Morocco ambao wana ushawishi CAF

Binafsi nasema hapana, uwanja wa Mkapa ni mbovu na hauna hadhi ya kutumika kucheza final ya shirikisho

Toka 2023 huu uwanja ulifungiwa na kiasi cha billions 31 zilitokewa Kwa ajili ya ukarabati
Fedha zote hizo zilifanya Nini?

Pitch mbovu
Vyoo vibovu
Viti vibovu

Walioiba pesa zetu watoke wambie radhi na kuukarabati huu uwanja

Au mnafanya maksudi ili matukio makubwa ya kitalii wa michezo yaende kutangaza Zanzibar na sio Tanganyika

Simba ni timu ya Tanganyika ilitakiwa final ya CAF ichezwe Tanganyika sio nchi nyingine ya Zanzibar

Tunataka final ya CAFCC ichezwe Tanganyika na Watanganyika wafurahie timu zao

Wazanzibar waanzishe timu zao ziwe kama Simba na Yanga sio huu uhuni wa kupuuza kutengeneza miundo mbinu ya viwanja vya Tanganyika ili matukio makubwa yakija yaende Zanzibar
 
Mnataka uwanja wa Mkapa ufe kabisa au mna malengo gani na hizi mvua si mnajua panakuaje pale mvua ikinyesha nyie au mmeshasahau?
Uwanja ule uwekewe Miundo mbinu maji yatoke yasituwame
CAF walitengeneza ule uwanja ili kuruhusu African league kupigwa pale 2023

Na walikwambia TFF na Serikali kuwa ukarabati wao utadumu miaka 2
 
Serikali isipumbaze watu ati wanahujumiwa na Morocco ambao wana ushawishi CAF

Binafsi nasema hapana, uwanja wa Mkapa ni mbovu na hauna hadhi ya kutumika kucheza final ya shirikisho

Toka 2023 huu uwanja ulifungiwa na kiasi cha billions 31 zilitokewa Kwa ajili ya ukarabati
Fedha zote hizo zilifanya Nini?

Pitch mbovu
Vyoo vibovu
Viti vibovu

Walioiba pesa zetu watoke wambie radhi na kuukarabati huu uwanja

Au mnafanya maksudi ili matukio makubwa ya kitalii wa michezo yaende kutangaza Zanzibar na sio Tanganyika

Simba ni timu ya Tanganyika ilitakiwa final ya CAF ichezwe Tanganyika sio nchi nyingine ya Zanzibar

Tunataka final ya CAFCC ichezwe Tanganyika na Watanganyika wafurahie timu zao

Wazanzibar waanzishe timu zao ziwe kama Simba na Yanga sio huu uhuni wa kupuuza kutengeneza miundo mbinu ya viwanja vya Tanganyika ili matukio makubwa yakija yaende Zanz
Serikali kosa lao nini. Hivyo vilabu vyenu si vijenge viwanja vyao!.
 
Serikali isipumbaze watu ati wanahujumiwa na Morocco ambao wana ushawishi CAF

Binafsi nasema hapana, uwanja wa Mkapa ni mbovu na hauna hadhi ya kutumika kucheza final ya shirikisho

Toka 2023 huu uwanja ulifungiwa na kiasi cha billions 31 zilitokewa Kwa ajili ya ukarabati
Fedha zote hizo zilifanya Nini?

Pitch mbovu
Vyoo vibovu
Viti vibovu

Walioiba pesa zetu watoke wambie radhi na kuukarabati huu uwanja

Au mnafanya maksudi ili matukio makubwa ya kitalii wa michezo yaende kutangaza Zanzibar na sio Tanganyika

Simba ni timu ya Tanganyika ilitakiwa final ya CAF ichezwe Tanganyika sio nchi nyingine ya Zanzibar

Tunataka final ya CAFCC ichezwe Tanganyika na Watanganyika wafurahie timu zao

Wazanzibar waanzishe timu zao ziwe kama Simba na Yanga sio huu uhuni wa kupuuza kutengeneza miundo mbinu ya viwanja vya Tanganyika ili matukio makubwa yakija yaende Zanzibar
Watanganyika hatuna akili mh! Simba inaenda kucheza nchi ya jirani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom