Ngasa alikuwa bado simba5.Maximo alikuwa katulia zake Brazil migongo wazi wakaingia kichwa kichwa .
hahahahaaaaaaaahaaa11. Yanga walidhani Coutinyo ni yule wa Liver
Hahahahahaaa! Simba wanajua kuwanyima raha yeboyebo! Kuna watu wataumwa kweli mwaka huu! Dah Simba bingwaaaaaa!
Hutaki au unataka hiyo ni juu yako, lakini ndio hivyo tena Simba ni bingwa wa timu zote zilizoshiriki kwenye Kombe la Mapinduzi!
Ova
Mkuu hata wewe unaandika haya au kuna mtu kaiba pin yako nini?
Siamini kama kweli na mimi unaniombea niumwe!
Naanzaje kuumwa kwa hiki ki kombe cha mbuzi?aah wapi,bado sana.
Hahahaaaaa! Pole lakini, hayo ndio madhara ya kushabikia timu mbovu kama Yanga, unachelewa sana kupata raha ya kufurahishwa na soka la nyumbani! Lol
Ova
Sasa simba wanaizidi yanga kwa kitu gani?labda hivyo vikombe vya michangani lakini kwa Yanga nyie mnakaa tu.
Subirini mziki wetu ligi kuu.
Nakupa kazi. Hesabu katika mechi ishirini za mwisho ambazo Simba na Yanga zilikutana ni timu ipi imekalishwa mara nyingi na timu ipi imepigwa bao nyingi. Kwa faida yako tu, maana kuna dogo ana miaka kumi na moja sasa hajawahi kushuhudia Yanga inaifunga Simba. Lol
Ova
O.M.G!Like serious?Miaka 11?Aisee hapa umeongeza chumvi...hii imekaa kishabiki zaidi.
Umesahau tulivyowatandika kwenye ile game ya final ya kombe la kagame 2011 tena mfungaji alikua Kenneth Asamoah?
Baadaye oktoba 29 tukawachapa tena goli 1-0 .Tena kwa faida yako hii game nilikua uwanjani taifa kushuhudia mlivyotoka vichwa chini.
Haya hiyo miaka 11 imetoka wapi?