Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,411
- 82,338
Mbona umehesabu mbili tu baby wangu? Nimekuambia hesabu mechi ishirini. Unaweza kuta ndio hizo hizo mbili tu. Maana hapa nilikuwa nasubiri utaje na zile 5-0. Kuhusu huyo dogo kuna siku nitakuunganisha naye, anashangaa kweli kila siku Yanga inakalishwa tu Simba, hadi anahisi inatakiwa iwe hivyo, kumbe ni Yanga wamekuwa vibonde.
Ova
Haha haaaa,baby leo umeniacha hoi sana.Hii homework ya mechi 20 ni ngumu kwa sasa ila nimekutajia zile muhimu.Achana na hiyo ya 5-0 (O.M
G I hate this) maana haikua game kubwa kihivyo.
Huyo dogo itabidi uniunganishe naye maana atakua ajabu la 8 la dunia!Ila nahisi atakua kaujua mpira mwezi uliopita,sio kosa lake...lol