Fainali kombe la Mapinduzi, Simba zaidi ya uijuavyo

Hahahahaaaaa mtazidi kumpandisha nyongo mzee wa dua la kuku.
Ameshindwa kuombea litimu lake bovu lichukue vikombe amebakia na limbao la hisani kama fundi seremala....

Hahaha.. Na mwaka huu watanuna sana.
 
Dah! Alafu kweli, hawa ndala watakuwa wanaichukia sana rangi nyekundu na nyeupe. Maveterani wa Simba bado wanaendeleza bakora, Simba kama timu bado wanaendeleza bakora, nina mpwa wangu anasema shuleni kwao msingi huwa wanacheza Simba na Yanga, na huwa Simba kama kawa. Nawaoneaga huruma sana hawanaga pa kutokea inapokuja jina Simba.

Hii ni habari njema kwangu.
 
Unakumbuka kombe la tusker Yanga alivyokalia vigogo vyenye ncha kali kwa miaka 5 toka 2000-2005?

Kombe la Tusker tulikuwa "tunawapigia nyumbani [tanzania] tunawapigia ugenini [kenya]".
Nadhani baada ya sisi kulichukua mfululizo wakaona hakuna upinzani ndo mana wakalifuta. Lingekuwepo hadi leo tungekuwa tumeshachukua mara 15. Nadhani hata Kilimanjaro Lager "mtani jembe" wataifuta mana hatuna mpinzani.
 
Wacha wee,wafalme wa vikombe vya mbuzi/michangani bila kusahau mabonanza.
Hivi ligi kuu nani anaongoza kuchukua mara nyingi?Kama vipi ligi kuu nayo ifutwe basi maana Yanga hatuna mpinzani.
 
kombe la mbuzi na kombe la ligi yote ni makombe.. hivyo kandambilieni tu.
 
"yanga ni timu ya kawaida saaaana, tutaitoa shoo siku ya jumamosi taifa"

Source: Kauli ya Masau Bwire a.k.a Msemaji wa timu "inayojiamini" ya JKT RUVU.

NB: Nimependa sana kauli ya kujiamini ya hawa vijana wa Jeshi... Eeeh Mungu saidia hawa vijana wako wa Jeshi watimize ndoto zao.

cc Makoye Matale nifah mkolaj na kandambili wote
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa! Kapoteza njia, hebu msaidieni, kijana kama nifah na Yanga wapi na wapi? Yanga awaachie akina Mzee Akilimali. Lol
Ova
umeona eeeh...!!!!kula gwala wangu!!!
yanga vizee tena vile vya magamba magamba vileee!!!
mi team@simba pyuuaaa!!
mi nikionaga mduu anashoboka na yanga simuelewiii ujue!!!
 
Last edited by a moderator:
"... na hebu tusubiri hiyo jumamosi tuone kama nazi [jkt ruvu] itatimiza ndoto yake ya kuvunja jiwe [kandambili]... nikiripoti toka ITV ni mimi Hemedi Kivuyo"

cc Makoye Matale nifah mkolaj na kandambili wote
 
Last edited by a moderator:
"... na hebu tusubiri hiyo jumamosi tuone kama nazi [jkt ruvu] itatimiza ndoto yake ya kuvunja jiwe [kandambili]... nikiripoti toka ITV ni mimi Hemedi Kivuyo"

cc Makoye Matale nifah mkolaj na kandambili wote

Nazi kuvunja jiwe?hizi ni ndoto za mchana....
Na tusubiri tuone.
 
Last edited by a moderator:
umeona eeeh...!!!!kula gwala wangu!!!
yanga vizee tena vile vya magamba magamba vileee!!!
mi team@simba pyuuaaa!!
mi nikionaga mduu anashoboka na yanga simuelewiii ujue!!!

Sio mduu tu,wabebez wakarez wote hapa mjini wanaipenda yanga.
Simba ni ya mashangingi waliostahafu mama....pole yako.
 
Nazi kuvunja jiwe?hizi ni ndoto za mchana....
Na tusubiri tuone.

Hiyo ilikua ni kauli ya mtangazaji wa ITV ila msemaji wa timu "inayojiamini" JKT RUVU Ndugu Masau Bwire anasema "yanga ni wa kawaida saaana na jumamosi lazima tuwaoneshe shoooo"
 
Sio mduu tu,wabebez wakarez wote hapa mjini wanaipenda yanga.
Simba ni ya mashangingi waliostahafu mama....pole yako.
dah pole sana unasemea wale vibwengo wa bongo muvi?
hatuwataki walee kwenye timu yetu wambeawambea watatia gundu sie ni watu makini
 
Nakuona geniveros a.k.a mshabiki wa damu unaendelea kuchagiza
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ilikua ni kauli ya mtangazaji wa ITV ila msemaji wa timu "inayojiamini" JKT RUVU Ndugu Masau Bwire anasema "yanga ni wa kawaida saaana na jumamosi lazima tuwaoneshe shoooo"

Namjua na kumkubali sana Hemed Kivuyo na maneno yake.Nahisi yule ni yanga maana.....
Wasubiri kuoneshwa show sio watuoneshe.
 
dah pole sana unasemea wale vibwengo wa bongo muvi?
hatuwataki walee kwenye timu yetu wambeawambea watatia gundu sie ni watu makini

Achana na hao wapuuzi wa bongo movie bwana...
Mimi nawasemea wabebez wengine tu hapa mjini.Itabidi nikutafute tukacheki game baina yetu uone simba walivyo mashangingi...lol
 
Nakuona geniveros a.k.a mshabiki wa damu unaendelea kuchagiza
kama kawa baba kama dawa namtell live bila chenga
Achana na hao wapuuzi wa bongo movie bwana...
Mimi nawasemea wabebez wengine tu hapa mjini.Itabidi nikutafute tukacheki game baina yetu uone simba walivyo mashangingi...lol

mabebz wapiii...
walugaluga tu walokuja mjini kwa gari za mkaa na mbio za mwenge na vijiji vyenu vya ujamaa
simba watoto wa mjini wewee ndo mana tupo mtaa wa msimbazi katikati ya jijiii
nyie kule wapi sasaaa...
kuiga mnyama mmenda kujenga dampo kule daah #!!
 
Last edited by a moderator:
kama kawa baba kama dawa namtell live bila chenga

mabebz wapiii...
walugaluga tu walokuja mjini kwa gari za mkaa na mbio za mwenge na vijiji vyenu vya ujamaa
simba watoto wa mjini wewee ndo mana tupo mtaa wa msimbazi katikati ya jijiii
nyie kule wapi sasaaa...
kuiga mnyama mmenda kujenga dampo kule daah #!!

Hahaha.. Lazima jumamosi watulie tu taifa stadium kipindi sisi tunashusha gharika mtwara mitaa ya "nangwanda sijaona" kwa vijana wa ndanda fc.
 
Kombe la Tusker tulikuwa "tunawapigia nyumbani [tanzania] tunawapigia ugenini [kenya]".
Nadhani baada ya sisi kulichukua mfululizo wakaona hakuna upinzani ndo mana wakalifuta. Lingekuwepo hadi leo tungekuwa tumeshachukua mara 15. Nadhani hata Kilimanjaro Lager "mtani jembe" wataifuta mana hatuna mpinzani.

Mimi sioni sababu ya kuendelea kuandaa Kombe na fedha mil. 100 za Kilimanjaro lager kwakweli ikiwa kila mwaka Simba anachukua vyotee....
Yaani kwa kula Bata viwanja tunawashinda hata uwanjani kabumbu Yeboyebo hawatuwezi.
Wafute tu kama Kombe la Tusker lilivyofutwa ili kuwaokoa makocha wa yeboyebo na talaka 3.
 
Back
Top Bottom