grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
![]()
ipo siku kila mtu ataushabikia simba
Hata Obama na George Bush wababe wa dunia wanaifahamu Simba SC inafanya kazi gani...
![]()
ipo siku kila mtu ataushabikia simba
mtibwa 3 simba 4
baada ya penati 5 wote wamekosa moja moja
simba bingwa
Amkeni jamani tuanze upya,
Weka picha
Jifunze kiingereza. Andika I am watching you,just make a minor mistake and you will see the outcome. Rudia kwa kiswahili au rudi shule muda bado unao.
Hapana Chezea Mapunda kabisaMnyama anatisha; Hongera sana Mapunda kwa ujasiri wako wa kuokoa penati ya mwisho:clap2::clap2::clap2::clap2:
Steve Yanga amejiunga na Azam baada ya kuona ujinga wa migongo wazi,na kuchoka kulia kila wakipigwa na Simba.
Ingekuwa sio ushindi kumbe basi Mtibwa hakutakiwa kufika fainali maana robo fainali na nusu fainali walipiga penati.
Bingwa wa Kombe la mapi"mbuzi"
Tunawangojea kwenye VPL.
Nkijumlisha hela ya mtani jembe na hii ya leo,sion sababu ya kutumia nguv myng kma yanga wasio na kikombe chochte msomu huu..
Unakumbuka penati ya Roberto Di Baggio 94 ilivyoota mbawa? Unakumbuka Van Der Sir alivyopangua penati ya Anelka champions league, unakumbuka Cech alipopangua penati ya Olic champions league? Unakumbuka Ndala walipobahatishaga kwa mnyama kwenye mechi fulani ya ngao ya jamii kwa matuta? Bila shaka una kumbukumbu nzuri, natumai.
Ahahahaa ahsante mtani jembe mimi na wewe hatudhuriani
utani mwingine bwana hata ubinadamu hamna hamjui cici ni watu wa kuzimia zimiawashabiki wa simba wameonekana kwa wingi wakiwa wanaelekea bandarini kupanda boti kuelekea zanzibar wakiwa na wapenzi wao wa moyoni kama huyu hapa chini. Ila mpenzi wake kama vile hana furaha.
View attachment 218199
Yah beki ya Simba tamu sana, hatari zote wapo imara kuzizuia, Simba ni timu ya kushinda kila siku iwapo fowadi ingekuwa safi...lkn kwa hili tusitegemee ushindi kwenye mipira ya dk 90 kwa mechi kibao, ushindi uliopatikana Simba kwa zilizopita ni za kubahatisha kwa mazingira ya fowadi ilivyo!
utani mwingine bwana hata ubinadamu hamna hamjui cici ni watu wa kuzimia zimia
Washabiki wa Simba wameonekana kwa wingi wakiwa wanaelekea Bandarini kupanda boti kuelekea Zanzibar wakiwa na wapenzi wao wa moyoni kama huyu hapa chini. Ila mpenzi wake kama vile hana furaha.
View attachment 218199
Mnacheza na yanga!!!!!