Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Simbaaaaaaaaaaaaaaaaa
***** Vincent,hujui shida utakayotupa humu jamvini na mtaani
usiseme ivo,sema msitufunge sana tukikutana.BIG UP SIMBA UKAWAHongereni sana Simba. Tukutane kwenye ligi.
Mimi nilijua tu sitapata ufafanuzi wa wewe kuwa nyumba ntobhu kwa masharti yako yale maana leo tulikuwa full masinondo. Poleni sana.Usiku mwema
hatutawasumbua tutawabughudhiWasitusumbue ushindi wenyewe wa matuta!
Wasitusumbue ushindi wenyewe wa matuta!
Siyo mtani jembe tu...... mapinduzi kwenda kwa ligi ......
#simbadamu