Fainali kombe la Mapinduzi, Simba zaidi ya uijuavyo

Fainali kombe la Mapinduzi, Simba zaidi ya uijuavyo

Eti Usitukane mamba kabla ujavuka mto! Mto wenyewe MANUNGU? Natukana mpaka 'nakunya' na bado navuka. CHEZEA SIMBA WEWE!

Tena ukiwa na Simba unavuka mto huku unamchezea Mamba Kabaang...
 
Wewe waache, watese muda huu maana wana muda mchache wa kutesa, baada ya saa 4:30 usiku mjini patakuwa kimyaaaa wakati kule Manungu mambo yatakuwa cherekochereko.
Hahahahahaa
 

Attachments

  • 1421220882954.jpg
    1421220882954.jpg
    17.2 KB · Views: 93
Mkuu tupo toka alfajiri, sherehe zinaendelea
Muhudumuuuuuuu...wewe uliyevaa nguo ya kijani na njano wewe eeh tuletee kama tulivyo. Muite na mtu wa Jikoni yule alivaa jezi ya blue, fanya haraka tunataka kwenda kuwapokea Wanaume wa shoka na Ndoo ya Mapinduzi.

too low....
 
Namhala hiyo nimeiona, ninachosema ni hawa JKU kutuangushia mtani wetu kabla hatujakutana naye, tulitaka mtani wetu asogee sogee ili tukutane hata kama ingekuwa ni nusu fainali poa tu lakini JKU nao kwa sababu ya kiherehere chao na kutaka sifa wakamwangusha mtani wetu ndo maana nasema wametukosesha uhondo.

Nimesikia Plujin alishangilia kwa furaha, maana alijua kukutana na Simba SC ndiyo mwisho wa kuishi nchini......
 
aaaaahaa nimecheka paka bas.daaa mrembo mashalaaaaa wowoo hilo duuuu kaumbika kisawasawa kwa chakulaaaa

Huyu mimi kuhonga kale kahela kajana sio tatizo...yaaani yum yum yuum, yani hana hata mfupa!
 
We bwana we! Mambo ya Yanga sio kuyataja hapa watatushukia na uzi huu uharibike bure! Wewe msifie tuu huyo bibie kwamba kajaliwa sana hayo makalio pia hiyo nguo yake ya rangi ya njano na kijani imemtoa kisawasawa!

Mkeo ni mkeo hata akiongea mpaka mapovu ya mdomoni yatoke wewe msubiri chumbani tu...
 
Mkeo ni mkeo hata akiongea mpaka mapovu ya mdomoni yatoke wewe msubiri chumbani tu...

aaaahaa vijana wamenipa raha sana na sasa wapo njiani wanaelekea mtwara kuwakabil ndanda jmos.ushindi ule uleeeeeee
 
Hivi waandaji wametumia vigezo gani kumpa Said Mohamed kuwa golikipa bora wa mashindano wakati amefungwa magoli mawili na kumwacha Peter Manyika aliyefungwa goli moja?
 
Hivi waandaji wametumia vigezo gani kumpa Said Mohamed kuwa golikipa bora wa mashindano wakati amefungwa magoli mawili na kumwacha Peter Manyika aliyefungwa goli moja?

Naweka ushabiki pembeni, maana hata hivyo nimesharudi ligi kuu na nipo Yanga kama kawa.
Said Mohamed ni kipa stadi sana, na aliokoa hatari nyingi sana langoni kwake, ambazo mwingine tungeongea tofauti muda huu.
Said anaweza sana, mazoezi kwa sana atatufaa sana Taifa stars.
 
Yanga bwana huyu Said si ndiye alipigwa 5 na Simba akiwa Yanga leo mnamsifia?Mrudisheni akikutana na wanaume mtamtimua tena.
 
Naweka ushabiki pembeni, maana hata hivyo nimesharudi ligi kuu na nipo Yanga kama kawa.
Said Mohamed ni kipa stadi sana, na aliokoa hatari nyingi sana langoni kwake, ambazo mwingine tungeongea tofauti muda huu.
Said anaweza sana, mazoezi kwa sana atatufaa sana Taifa stars.
Twende kimantiki zaidi, Mantiki ya kwanza: Salim Mbonde ni beki wa kati na amekuwa mchezaji bora wa mashindano kwa maana kwamba alizuia sana na kama alizuia sana ina maana mipira mingi haikufika kwa Said Mohamed ambaye ni golikipa wake hivyo Said Mohamed hakupaswa kuwa golikipa bora wa mashindano.

Mantiki ya pili: Said Mohamed ni golikipa bora wa mashindano alizuia michomo mingi na kufungwa magoli machache (mawili) kwa kuwa Said Mohamed alizuia michomo mingi ni wazi kwamba mabeki wake hasa wale wa kati akiwemo Salim Mbonde hawakuweza kuzuia mipira mingi na iliwapita hadi kufika kwa Said Mohamed na kuzuia yeye isiingie golini hivyo Salim Mbonde hakutakiwa kuwa mchezaji bora wa mashindano.

Sasa kwa mantiki hizo mbili hebu niambie inawezekanaje golikipa na beki wote kutoka timu moja wanaweza kuwa bora at the same time?
 
Hongera jana nlilala dogo ndo kanambia tumechukua SIMBA nimekuja mbiooo

Baada ya kazi nzito siku ya jana, leo timu inakwea pipa kuelekea mtwara, kwa ajili ya shughuli moja tu siku ya jumamosi.. kuwaangamiza ndanda.
 
"Simba hii haijawahi tokea!"

"Simba Bab-kubwa!"

"Hatari: Simba hii ni ya Ulaya!"

"Mtibwa hawana hamu na Ivo!"
 
Labda Ulikuwa Hujui.. Mara Ya Mwisho Yanga Kuchukua Kombe Lolote Lile..
1. Moyes Alikuwa Kocha Everton.
2. Mbeya City Ilikuwa Daraja la Pili.
3. Okwi Alikuwa Tunisia.

Unaruhusiwa Kutupia Na Zako.
 
Labda Ulikuwa Hujui.. Mara Ya Mwisho Yanga Kuchukua Kombe Lolote Lile..
1. Moyes Alikuwa Kocha Everton.
2. Mbeya City Ilikuwa Daraja la Pili.
3. Okwi Alikuwa Tunisia.

Unaruhusiwa Kutupia Na Zako.

4. Jaja alikuwa akiuza mishikaki katika ufukwe maarufu wa Copacabana
 
Back
Top Bottom