ushindi wa penati sio ushindi, wanaoahangilia watakuwa na matatizo ya akili
ushindi wa penati sio ushindi, wanaoahangilia watakuwa na matatizo ya akili
Wenye hasda na wivu wamekimbia kulala baada ya dua zako kukwama darini.
I am watching at you, just make a minor mistake you will see the outcomes.
Mikia oneni aibu, huu siyo ushindi wa kutembea kifua mbele. Ni aibu kutambia ushindi wa matuta ndiyo maana wakuu wenye heshima zao hawazungumzi lolote hapa jamvini.
Jamani nina hali mbaya. Sipendi wakati kama huu. Mungu tusaidie tu.
Jifunze kiingereza. Andika I am watching you,just make a minor mistake and you will see the outcome. Rudia kwa kiswahili au rudi shule muda bado unao.
Sijui kwann kocha anampenda maguli yani ni majanga bora yule dogo,na yule okwi alikuwa analukaluka tu sjui ndio viongoz walimwambia wampange tu lakn hakuna chochote cha maana alichokuwa anakifanya