Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,871
- 32,691
Huyo kocha naye vipi angemwacha tu dogo acheze hadi mwisho sijui kwa nini kamwingiza Mapunda.
Kafanya hivyo sababu kishapokea posa yetu. Vyovyote itakavyokuwa kocha lazima atupe mke wetu.
Tulieni tu maana tunaelekea pazuri sana.