Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,180
- 22,803
nliposema yanga ondoken hapa mchukue kopo mkasugue gaga bantu lady na makoye walinijia juu kuwa mimi nina mfumo dume.lakin kwa taratib za kibantu wanaume wanapokuwa wanaongea mke anaenda jikon au kutandka kitanda.kma yanga walivyowah kurud dar kutandka kitanda ili mume akirud amkute mke tayar.sasa bantu ameelewa kuwa simba ilienda kazin kukutana na wanaume ikaibuka dume sasa inarud kupumzikia kwa yanga.kma huu n mfumo dume acha uwe.tumeenda,tumeona,tumebeba kombe.