Fainali kombe la Mapinduzi, Simba zaidi ya uijuavyo

Fainali kombe la Mapinduzi, Simba zaidi ya uijuavyo

sikuangalia hii mechi, hivi kumbe mtibwa walikaza hadi wametolewa kwa matuta, simba na yanga sasa wana wapinzani wa kutosha, mechi hazitabiriki kama zamani, ushindani unaonekana sasa
 
<img src="http://1.bp.blogspot.com/-OLR6qUmD7UQ/VLV_ZkYI91I/AAAAAAAA9LI/pBFK95V0A1M/s1600/simba%2Bfainali%2Bmapinduzi.JPG">
simba%2Bfainali%2Bmapinduzi.JPG
C
 
Simba mbele wanazingua hasa huyu jamaa anayeitwa maguli yani hata kutuliza mpira shda yani ni maboko tu,jamaa ana nguvu nyng lakn kontrol hakuna tunapoteza mpira mingi akiwepo maguli hata short on goal sijui kocha halioni hilo,yule dogo Ibrahm hajbu anajua kukaa na mpira na kutengeneza mashambuliz kuliko maguli ambaye anategemea manguvu na sjui kwann jana okwi alicheza naye alikuwa anazngua mpira kibao alikuwa anapoteza na hakuwa kwenye kiwango lakn kocha akawa amemngangania wakati ilibdi atoke mapema naamin jana okwi alichezeshwa kwa matakwa ya watu lakn sio kocha ndio maana mpira wa Tanzania una dumaa,kama Simba ingefungwa jana mtu wa kwanza wa kulaumiwa alikuwa okwi na kocha aliyepanga kikosi lakn tushukuru Mungu
 
Hahahaaa! Umepanic brother!

Huwa sipaniki Mkuu, fuatilia posts za huyo Mkuu utaona jinsi ambavyo si mwanamichezo. Michezo ni furaha, amani na upendo. Kama michezo itageuka kuwa chanzo cha uhasama basi michezo haina maana tena.
 
If punctuation is a problem to you, I doubt if you are capable for English structure critique!

Take note that:

JF is not only a place to post and read comments but also fools can learn from the wise to become wise
(Makoye Matale, 2015).

And soccer fools as well....teheteheteheteheeeee......
Kicheko cha fwedha
 
Ndanda mjiandae kisaikolojia maana jumamosi tutakapokutana, kisu tulicholia miwa ya mtibwa ndo kitakachowashughulikia nyinyi.

Safi sana Mkuu, kisu cha draw kikiendelea itakuwa bomba maana kwenye ligi hakuna matuta!
 
Ndanda mjiandae kisaikolojia maana jumamosi tutakapokutana, kisu tulicholia miwa ya mtibwa ndo kitakachowashughulikia nyinyi.

Mkuu hilo halina ubishi, miwa tumekula lakini bado kiu kiko palepale. Tutakachofanya ni kuangamiza kiwanda cha maji ya ndanda kwa kuyanywa yote mpaka ya sample...hahahahaha
 
Nimegundua Okwi siyo mchezaji wa kutulia sehemu moja, sijui ni nafasi aliyopangiwa au la, Okwi alitakiwa abaki kwny line ya fowadi ili magoli yapatikane, tatizo la Simba ni fowadi, beki ya Simba iko imara sana mpaka unaipenda

Mkuu kweli beki ya simba adi kwenye viungo ni hatari lakn mbele ndio kuna shda
 
Huwa sipaniki Mkuu, fuatilia posts za huyo Mkuu utaona jinsi ambavyo si mwanamichezo. Michezo ni furaha, amani na upendo. Kama michezo itageuka kuwa chanzo cha uhasama basi michezo haina maana tena.
umesahau na USHIRIKINA
 
Safi sana Mkuu, kisu cha draw kikiendelea itakuwa bomba maana kwenye ligi hakuna matuta!

Haha.. katika mechi kuna kushinda, kupoteza na draw.. hapa mi nazungumzia kushinda, na ndo maana tukaondoka na ndoo. Hivyo hao ndanda wajipange kisawasawa, maana wasipokua makini yaweza kuwapata yaliyowapata Mafunzo.
 
Mkuu kweli beki ya simba adi kwenye viungo ni hatari lakn mbele ndio kuna shda

Yah beki ya Simba tamu sana, hatari zote wapo imara kuzizuia, Simba ni timu ya kushinda kila siku iwapo fowadi ingekuwa safi...lkn kwa hili tusitegemee ushindi kwenye mipira ya dk 90 kwa mechi kibao, ushindi uliopatikana Simba kwa zilizopita ni za kubahatisha kwa mazingira ya fowadi ilivyo!
 
Mkuu hilo halina ubishi, miwa tumekula lakini bado kiu kiko palepale. Tutakachofanya ni kuangamiza kiwanda cha maji ya ndanda kwa kuyanywa yote mpaka ya sample...hahahahaha

Hahaha.. kumbe wanatengeneza Maji?!! Kuna wasiwasi tukamaliza mzigo wote uliopo kiwandani.
 
Kosa la Mtibwa ni jezi zao, wangevaa jezi zao za blue yaliyowapata yasingewapata...
 
Safi sana Mkuu, kisu cha draw kikiendelea itakuwa bomba maana kwenye ligi hakuna matuta!

Bado unaendeleza dua zako za kuku? Ama kweli kama nakuona uso ulivyosawajika kwa aibu iliyokukuta jana...
Hahahahaaaaa...Ndala na Ndanda ni walewale, kichapo tu....
 
Hahaha.. kumbe wanatengeneza Maji?!! Kuna wasiwasi tukamaliza mzigo wote uliopo kiwandani.

Mzigo lazima uishe, na Mnyama asiporidhika atalamba mpaka denda la mtu yeyote atakayekatiza mbele yake.
 
Huwa sipaniki Mkuu, fuatilia posts za huyo Mkuu utaona jinsi ambavyo si mwanamichezo. Michezo ni furaha, amani na upendo. Kama michezo itageuka kuwa chanzo cha uhasama basi michezo haina maana tena.

Mbona unaeleweka hasa ukishindwa soka la dimbani...
 
If punctuation is a problem to you, I doubt if you are capable for English structure critique!

Take note that:

JF is not only a place to post and read comments but also fools can learn from the wise to become wise
(Makoye Matale, 2015).

Naona mpira umewashinda mmegeukia biashara ya Tuition Centre. Kaisajilini NECTA kiwe kituo cha mitihani mpige pesa.
 
Back
Top Bottom