Faida za vibamia

Faida za vibamia

Mi wala sitakuchana Muree...nna kibamia mwenzio.

Kama huniamini mwulize yule nanilii...

Hata Dina waweza kumwuliza
Mimi aniulize ye kwani haujuiii mi naujua wa Kiranga sasa hivi yupo hapa nampeti peti
 
Kheee weee....yaani mara hii ushampora mwenzio bebi wake?

Mubaya wewe.

We keshakununulia nini?
Tunaenda home akatoe mahali kabisa hataki mchezo ,kwa hiyi vyake vyote ntamilikii
 
Mimi aniulize ye kwani haujuiii mi naujua wa Kiranga sasa hivi yupo hapa nampeti peti
Ye haujui bana...

Ila naona umekolea kweli kwa Kiranga wewe!

Umeamua kubaki na wa nyumbani sio...?

Ila kuwa mwangalifu...wanyakuaji wapo wengi humu.

Wasije wakamnyakua halafu uanze kuja kunililia....ntakumega
 


Hayo ndo mambo sasa.

Ole wako siku ya siku usiialike michepuko yako yoto
Yap mti ukikatwa unapanda mwinginee mambo ndio hayoo sina michepuko mie ,,,kiranga kajua kunitulizaa wallah
 
Back
Top Bottom