Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huko kuharisha ndio inasafisha. Binafsi nikiwa na gesi kama nimekula manyamanyama mfululizo then nisipate choo hata kwa siku moja naitengeneza usiku nainywa ya kutosho nzito sikilizia asubuhi nitakavyoporomosha. kama vipi natafuna mbegu tano za mlonge kama kawa ni kusafisha. Mimi kwa kweli nimezoea kusafisha tumbo langu asubuhi milango ya saa kumi na moja au kumi na mbili kila siku so siku ikipita kavu najua chakula nilicho kula hakikubalance. so najitengenezea dawa. So Ukwaju, Mlonge, Asali, Ndimu, Vitunguu swaumu, Mti wa aloe vera ni vitu ninavyopenda viwepo ndani always.mi nikinywa nahalisha balaa
tembe za mlonge binafsi nazitumia ila usitafune nyingi ,tafuna moja au mbili kwa matokeo mazuri hutakereka sana ,inaondoa sumu mwilini pia naipenda
Tatizo ni uandaaji wake katika mazingira yetu machafu. Mara nyingi juice zinanywewa zikiwa tayari contaminated.
Mwanajeshi wangu King'asti Umemaliza kila kitu nimekuvulia kofia yangu hongera........................yaani juisi unataka ukanywe sokoni? Si itengenezwe nyumbani?
Jinsi ya kutengeneza juisi ya ukwaju:
1. Nunua ukwaju usiomenywa maganda. Kama hauna kinyaa kama cha Nyani Ngabu nunua uliomenywa.
2. Weka kwenye chombo cha bati, bakuli ama sufuria.
3. Chemsha maji kwa jagi ama sufuria. Yakichemka kabisa, yamimine juu ya ukwaju.
4. Subiri kwa dakika kumi na koroga. Kisha chuja
5. Kutumia weka kiasi cha ukwaju kwenye shaker, ongeza sukari ama asali na ice cubes. Tikisa huku unacheza mziki uupendao (makes it easier, hauchoki lol)
6. Voilaaaa. Kituuu!
yah mlonge ni mzuri japo mwanzo mi nlipata nao tabu ila kadri siku ziendavyo na baada ya kujua faida zake basi kwangu umekuwa wa muhimu
yaani juisi unataka ukanywe sokoni? Si itengenezwe nyumbani?

huko kuharisha ndio inasafisha. Binafsi nikiwa na gesi kama nimekula manyamanyama mfululizo then nisipate choo hata kwa siku moja naitengeneza usiku nainywa ya kutosho nzito sikilizia asubuhi nitakavyoporomosha. kama vipi natafuna mbegu tano za mlonge kama kawa ni kusafisha. Mimi kwa kweli nimezoea kusafisha tumbo langu asubuhi milango ya saa kumi na moja au kumi na mbili kila siku so siku ikipita kavu najua chakula nilicho kula hakikubalance. so najitengenezea dawa. So Ukwaju, Mlonge, Asali, Ndimu, Vitunguu swaumu, Mti wa aloe vera ni vitu ninavyopenda viwepo ndani always.
hapa naona twist ndio itafaa kutengeneza hii ukwaju-shake.....hahahhaaaaaaa u made my day my dada!
hii kitu "MLONGE" kiswahili chake rahisi ni nini? na inapatikana maeneo gani kwa DSM!
hizi kitu kuzitafuna ni ishu kwakweli nilitafunaga nikiwa na malaria weeee..........labda zitengenezwe kivingine aiseee!
but ikibidi sana ntazitafuna.....lkn .....
sidhani kama ina kiswahili kingine hapo nitakudanganya miti yake ipo baadhi ya maeneo awali nilipokuwa naishi kulikuwa na mti lakini nimeshahama ila ukienda pala kkoo sokoni huwezi kuzikosa eti Mzizi Mkavu mbegu za mlonge zapatikana sehemu gani nyingine au dada Paloma anaweza akafahmu sehemu nyingine
kwa waoga wa vitu vichungu ni mtihani maana hadi masikio yanasisimuka ila ni muhimu ukawa na maji pembeni si unajua ukishazitafuna ukinywa maji yanakuwa matamu....hakuna namna nyingine mamito dawa chungu ndo inatibu vizuri according to me lakini
week end hii naomba unitengenezee uje nao pale pale
hii kitu "MLONGE" kiswahili chake rahisi ni nini? na inapatikana maeneo gani kwa DSM!
Chemsha kwanza kidogo Ndio utayarishe kutokana na mazingira yake ya uuzaji lazima uharishemi nikinywa nahalisha balaa