Faida za Parachichi katika mwili wa Binadamu

1392733254340.jpg
 
Tunda/mbegu yake ukisaga
  1. Nzuri sana kwa kufanya scrubing ya uso
  2. Hutumika kama kiungo cha chai
  3. Hiyo hiyo mbegu ikisagwa na kuchanganya na ubuyu mweupe uliolowekwa....ikachunjwa na kutiwa sukari ni juice nzuri sana
Ina vitamin C ya kutosha
 
Asante Chocs kwa elimu hii nilikua sijui
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom