Faida za Parachichi katika mwili wa Binadamu

:smile-big:

kuna umuhimu wakula parachichi zima au kama nitaamua kula nusu kipande cha parachichi asubuhi na nusu usiku kabla sijalala nitapata faida ile ile sawa na kula tunda zima? Je,lipi zuri zaidi kula,lililoiva sana au wastani? Mi napenda zaidi kuchanganya na ndizi na huwa nakula asubuhi kabla sijala chochote zaidi ya maji,naweza kupata tatizo au hasara yoyote ? Ni upi ulaji mzuri wa tunda hili?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom