Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Hilo jicho duh,mbona ntakua nakiliza kila siku
ili tu........
we jamaa hufai kabisa , kila sehemu kwenye mada za mapenzi/ngono lazima uwepo
Hilo jicho duh,mbona ntakua nakiliza kila siku
ili tu........
Kaka umenitosa sana! Niko poa kabisa, habari za pande hizo!
NOT ENOUGH KWELI KNOWLEDGE IS POWER ,,, But hatujifunzi hivyo... kwa siku utume thread mbili zote zinahusu sex, huo mda wa kujifunza hayo unayotaka kujua unauendesha vipi... au ukituma thread huna haja na majibu... Personally nikiona hivi naacha kukuchulia serious na kuaanza kuruka thread zako...
Nataka kujua hivi ngono ina faida gani zaidi ya ule utamu unaosikia wakati unakojoa/kukojolewa na kuzaa. Hivi kuna faida zaidi either kiafya, akili etc.
Nataka kujua ili kama kuna faida extra ili kuwa serious la libeneke.
Thanks

duh! we nomaUkishajua faida zake ukafanye ngono na yule shemeji yako anayekushikashika wakati mume wako amekwenda msalani.