Naamini kila jambo lina faida na hasara zake. Lakini je kutoka nje ya ndoa kuna faida zipi hasa? Na hasara zake ni zipi? Pekee ninalolijua miye kwa personal experience, inasaidia sana kumheshimu mume/mke wako baada ya kukutana na matakataka mengi huko nje!
Nawasilisha
1. Faida: Utakuwa umejikatia tiketi ya bei chee kwenda motoni kwani Mungu hataki hiyo.
2. Faida: Utaweza kujithibitishia wewe mwenyewe kuwa ni mbinafsi, mzandiki, mfinyu wa fikra na etc.
3. Faida: Utaweza kujithibitishia wewe mwenyewe ndani ya roho yako kuwa huna upendo wa kweli kwa mwenza na mapenzi yako ni feki.
4. Faida: Utakuwa umejihakikishia kuwa mtumwa wa kudumu wa shetani.
5. Faida: Utakuwa umehakikisha kuwa umeshindwa mtihani wa majaribu ambao ulikuwa unajua kuwa utashindwa.
6. Faida: Utasifiwa sana na Changudoa au nyumba ndogo kuwa una mapenzi na atasema wewe ni namba moja katika mapenzi kumbuka sifa zitazidi kadri utavyokuwa unatoa hela nyingi.
1. Hasara: Utamletea magonjwa mwenza ambaye labda hana makosa yeyote.
2. Hasara: Matendo yako machafu yatakusuta milele ndani ya roho yako.
3. Hasara: Siri zako ndani mfano kukoroma au kufanya majambo ya ajabu wakati wa kufanya mapenzi zitajulikana na wengi.
4. Hasara: Utakuwa umewekeza katika ujenzi wa nyumba au maisha ya changudoa au nyumba ndogo ambayo hutaweza kuambulia hata senti tano.
5. Hasara: Kwa sababu hela nyingi zitaenda kwa changudoa au nyumba ndogo.. Familia yako inaweza kuyumba na kuangaika hadi watoto wakashindwa kwenda shule. Lakini usijali sio issue sana kwani wakati huo utakuwa hujali cha familia wala watoto.
NB: Soma vizuri hizo faida na uamue mwenyewe kama ziendelee kukaa hapo au ziamie chini kwenye hasara..
.Naamini kila jambo lina faida na hasara zake. Lakini je kutoka nje ya ndoa kuna faida zipi hasa? Na hasara zake ni zipi? Pekee ninalolijua miye kwa personal experience, inasaidia sana kumheshimu mume/mke wako baada ya kukutana na matakataka mengi huko nje!
Nawasilisha
Unajua maana ya neno faida?

faida zipo,we tafuta m/mke mwenye chapaa,utazaa nae na watoto ni wa baba,hata kama ni fukara,hizo hasara za sasa zitakuwa neutralized kwa hili!!!
Je kwa wale waliokuwa mageti makali mpaka wanoa ama kuolewa huo uzoefu wataupata wapi?Ndio maana unashauriwa umalize kila kitu kabla ya kuingia kwenye ndoa!
Test kila aina!! Ukishaingia nunakuwa huna ulichokiacha nyuma!

1. Faida: Utakuwa umejikatia tiketi ya bei chee kwenda motoni kwani Mungu hataki hiyo.

2. Faida: Utaweza kujithibitishia wewe mwenyewe kuwa ni mbinafsi, mzandiki, mfinyu wa fikra na etc.

3. Faida: Utaweza kujithibitishia wewe mwenyewe ndani ya roho yako kuwa huna upendo wa kweli kwa mwenza na mapenzi yako ni feki.

4. Faida: Utakuwa umejihakikishia kuwa mtumwa wa kudumu wa shetani.

5. Faida: Utakuwa umehakikisha kuwa umeshindwa mtihani wa majaribu ambao ulikuwa unajua kuwa utashindwa.

6. Faida: Utasifiwa sana na Changudoa au nyumba ndogo kuwa una mapenzi na atasema wewe ni namba moja katika mapenzi kumbuka sifa zitazidi kadri utavyokuwa unatoa hela nyingi.

1. Hasara: Utamletea magonjwa mwenza ambaye labda hana makosa yeyote.

2. Hasara: Matendo yako machafu yatakusuta milele ndani ya roho yako.

3. Hasara: Siri zako ndani mfano kukoroma au kufanya majambo ya ajabu wakati wa kufanya mapenzi zitajulikana na wengi.

4. Hasara: Utakuwa umewekeza katika ujenzi wa nyumba au maisha ya changudoa au nyumba ndogo ambayo hutaweza kuambulia hata senti tano.

5. Hasara: Kwa sababu hela nyingi zitaenda kwa changudoa au nyumba ndogo.. Familia yako inaweza kuyumba na kuangaika hadi watoto wakashindwa kwenda shule. Lakini usijali sio issue sana kwani wakati huo utakuwa hujali cha familia wala watoto.

NB: Soma vizuri hizo faida na uamue mwenyewe kama ziendelee kukaa hapo au ziamie chini kwenye hasara..

Hivi, NDANI ya ndoa ni wapi? Na, ndani ya NDOA ni wapi?
Lizzy una mtazamo wa kidumedume! Au ulishachoshwa na maswala ya mahuiano nini?