Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,220
- 4,056
Dah! Hii kaliInaongeza uzoefu na hekima kama mfalme selemani
Dah! Hii kaliInaongeza uzoefu na hekima kama mfalme selemani
Kuna mtu alisema yafuatayo nina nukuu "Miongoni mwa faida za mwenza kusaliti ni kudumu kwa ndoa" akaendelea kusema "Ndoa zisizo na usaliti, wakimaanisha uaminifu aslimia 100 inapotokea mmoja akachepuka, mwenzake akibaini, maisha yao ya ndoa huishia hapo hapo" akazidi kulonga kuwa "Ndani ya moyo wa binadamu kuna kisanduku cha dhamira ambacho kazi yake kubwa ni kumkumbusha binadamu uovu wake na hivyo kutulia anavyotendewa" mwisho wa kunukuu.

Naamini kila jambo lina faida na hasara zake. Lakini je kutoka nje ya ndoa kuna faida zipi hasa? Na hasara zake ni zipi? Pekee ninalolijua miye kwa personal experience, inasaidia sana kumheshimu mume/mke wako baada ya kukutana na matakataka mengi huko nje!

Nawasilisha
Ukikumbuka jina unishtue kaka

Mkuu kuna gazeti moja la udaku japo silikumbuki jina, hapo katikati ya wiki hii kila kitu kimewekwa wazi. Nadhani itakusaidia kwa kiasi fulani kuweza kuzifahamu kidogo!
inafaida na hasara,kwa faida!unaweza pewa vi2 ambavyo kimsingi huvipati ndani,hasara,costful,accessible to deseases
Sasa mkuu ukila chungwa kila siku,, ukiona ndimu utadhani nayo ni tamu kama chungwa. Ila ukionja hiyo ndimu ndipo utaliheshimu sana chungwa la kila siku. Waswahili wanasema kusaliti ni kama kulamba shubiri,, bila kuionja unaweza kudhani ni tamu lakini utakapoonja na kubaini ni chungu siku nyingine huwezi kurudia kulamba.

Hizi topics.... mtihani kwa kweli.... Dah!
Gaga vipi tena? Imekugusa?

meona eee maana dah
Ilikuwa zamani, sasa hivi mambo yamebadilika!! Mwanamke bikira utamtatia wapi? Labda za kichina!
Ubikira unatakiwa uwe to both men and women. Na sio kwa mwanamke pekee, mbaya zaidi kwa wanawake bikira inapimika tofauti na mwanaume, if you want a virgin you must as well keep your virginity otherwise utakwenda kumchafua mwenzako. Hivyo msiwatuhumu wanawake kwani bikira zao zatolewa nanyi wanaume at the end of the day we are all scrapers unless tuoane tukiwa vichanga, lol
sikulijua hili......................... kumbe ili ujulikane upo safi, ukigundua jamaa ka-cheat tu unadai talaka....................... ha haaaaaaaaaaaa.Kuna mtu alisema yafuatayo nina nukuu "Miongoni mwa faida za mwenza kusaliti ni kudumu kwa ndoa" akaendelea kusema "Ndoa zisizo na usaliti, wakimaanisha uaminifu aslimia 100 inapotokea mmoja akachepuka, mwenzake akibaini, maisha yao ya ndoa huishia hapo hapo" akazidi kulonga kuwa "Ndani ya moyo wa binadamu kuna kisanduku cha dhamira ambacho kazi yake kubwa ni kumkumbusha binadamu uovu wake na hivyo kutulia anavyotendewa" mwisho wa kunukuu.
sikulijua hili......................... Kumbe ili ujulikane upo safi, ukigundua jamaa ka-cheat tu unadai talaka....................... Ha haaaaaaaaaaaa.
Hili labda litaaply kwa wamama, ila wababa wakigundua umecheat, hata kama yeye anacheat kila siku, ujue ndoa ipo mashakani!!!!!
Faida kwa sie tuliolewa na cheating husbands ni pale unapokuwa umeshindwa kumsamehe mumeo kwa madrama yake na wanawake wa nje, u cheat and forgive him and yourself tooo... then life goes on.....