Faida za kila mwanandoa kulala kitanda chake

Faida za kila mwanandoa kulala kitanda chake

Mhhh Himidini iwapo hakuna tatizo lolote ndani ya ndoa na hakuna ugomvi wowote baina ya wawili hao kulala vyumba/ kitanda tofauti ni ngumu
may be iwapo kuna tofauti baina ya wanandoa kulala separate rooms/beds inawezekana

^^
Naam inatumika sana kwa wale ambao tofauti zao hazisuluhiki kirahisi
^^
 
Last edited by a moderator:
Hivi ktk hali ya kawaida wanandoa wanaweza kulala vtanda/vyumba tofauti? Nadhani hzo faida huja pale ambapo wanandoa hao wametofautiana ama kugombana.cjui kama nipo right!!

^^
Ndiyo nayo ni sababu kuu ingawa ukumbuke pia miaka migumu katika ndoa kwa mujibu wa tafiti nyingi ni mwaka wa 3,5,7,9 na kuendelea ikiwemo kuchokana na kukosa upya katika ndoa.
^^
 
Hili la kulala kitanda kimoja limekuja karibuni tu.

Kwenye mfumo wa ndoa za wake wengi, baba mwenye mji anakuwa na banda/chumba/nyumba yake na kila mke anakuwa na banda/chumba/nyumba yake (pamoja na watoto wao wadogo). Watoto wakishakuwa nao wanakuwa na banda/chumba/nyumba yao (bweni). Ndio maisha ambayo babu yangu alikuwa akiishi.

Kwa hivyo kama trend ni kurudi tena kwa kila mtu kulala kivyake, pengine sio jambo jipya sana hasa katika tamaduni nyingi za ki-afrika.

^^
Upo sawa ndio maana hata ktk mada yangu nimeweka wazi kuwa sina tafiti niliyopata inayohusu afrika,, hata hivyo haina maana mambo haya hayapo Yalikuwepo tangu kale ila tu usiri na kukosekana kwa taarifa kutokana na mila na desturi nyingi za kiafrika kuliyaficha.
^^
 
Mi naona zoezi hili kiafya hua namsaada mkubwa zaidi kuvingilishana vingilishana mda wote nako sio kuzuri kuna maradhi ya njia za hewa!

^^
Umenikumbusha kuna mtafiti mmoja anasema husaidia kujiepusha na harufu mbaya,jasho,kujamba,n.k ha ha
^^
 
Sasa hapo mkuu Himidini ndio unakaribisha matatizo zaidi, mi makosa ya kawaida gem moja matata tunalala burrdaaaani bila kinyongo.

^^
Na ndio maana nikasema usikubali ndoa yako ifikie hatua hii..ukiona dalili za hili fanya "pillow talk" ila kweli kuna wanandoa kuachana hawataki na kulala pamoja hawataki..kwa hiyo kuwa na "sleeping space" husaidia sana
^^
 
Hili la kulala kitanda kimoja limekuja karibuni tu.

Kwenye mfumo wa ndoa za wake wengi, baba mwenye mji anakuwa na banda/chumba/nyumba yake na kila mke anakuwa na banda/chumba/nyumba yake (pamoja na watoto wao wadogo). Watoto wakishakuwa nao wanakuwa na banda/chumba/nyumba yao (bweni). Ndio maisha ambayo babu yangu alikuwa akiishi.

Kwa hivyo kama trend ni kurudi tena kwa kila mtu kulala kivyake, pengine sio jambo jipya sana hasa katika tamaduni nyingi za ki-afrika.
ni kweli, mwanaume anakuwa na nyumba yake na hao wake zake wanapangiana zamu ya kulala na mume wao, ila wakifika huko hawalali vitanda tofauti bhana, ni mgegedo mpaka asbuhi. sasa mfano wako naona ni irrelevant na hii situation, kama angekuwa na mke mmoja je wangelala separate rooms au ni sababu wapo wengi na hawezi kulala nao wote kwa wakati mmoja!
 
BAK its my suprise today where is your handwriting????????????????????
Story za vijiweni za wale waliooa au kuolewa wanapoamua kufunguka kuhusu ndoa zao unaweza vunjika mbavu kwa kusikia mambo mbali yanayotokea ndani ya ndoa.
 
Last edited by a moderator:
Story za vijiweni za wale waliooa au kuolewa wanapoamua kufunguka kuhusu ndoa zao unaweza vunjika mbavu kwa kusikia mambo mbali yanayotokea ndani ya ndoa.
Mkuu,
Kumbe umeshakutana na watu wa aina hii?
Mimi huwa nasimuliwa sana story za aina hiyo na wanaume wenzangu, lakini kimoyomoyo nacheka na kustaajabu sana. Utakuta jamaako anakwambia kuwa hawezi kushinda nyumbani siku nzima bila kumtandika makofi mkewe!!

Na wengine hufikia kusema kabisa hadi mikao wanayo'do na wake zao, na kwa bahati mbaya au nzuri mara shemeji anapita hapo hapo kijiweni. Utakuta watu wanamwangalia wee, na wengine wanapata hadi hamasa ya kumtongoza ili waongeze kiwango cha utundu!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
ni kweli, mwanaume anakuwa na nyumba yake na hao wake zake wanapangiana zamu ya kulala na mume wao, ila wakifika huko hawalali vitanda tofauti bhana, ni mgegedo mpaka asbuhi. sasa mfano wako naona ni irrelevant na hii situation, kama angekuwa na mke mmoja je wangelala separate rooms au ni sababu wapo wengi na hawezi kulala nao wote kwa wakati mmoja!
Ungepata muda hata wa kuona vitanda au aina ya matandiko waliyokuwa wanalalia, ungeng'amua kwa urahisi tu kuwa hayakuwa kwa ajili ya kulala watu wawili kwa muda mrefu!
 
Mi naona zoezi hili kiafya hua namsaada mkubwa zaidi kuvingilishana vingilishana mda wote nako sio kuzuri kuna maradhi ya njia za hewa!

Haya yanatokea mkishachokana, lakini pale mwanzoni ni kama paragraph ya kwanza ya motoa mada. Wakati huo swala la afya na hawa unazozisema huwa wapi?
 
kweli hiyo inahusu huko marekani!
Kuna watu tz had leo wanasubiri watoto walale ndo waanze! sembuse kuwa na 2 room! loh!
 
Mkuu PJ watu wengine waliomo ndani ya ndoa hawajui mipaka ya kuzungumzia internal affairs zao. Wanapoamua kufunguka basi hufunguka hasa, wengine mkabaki mnaangaliana tu.

Mkuu,
Kumbe umeshakutana na watu wa aina hii?
Mimi huwa nasimuliwa sana story za aina hiyo na wanaume wenzangu, lakini kimoyomoyo nacheka na kustaajabu sana. Utakuta jamaako anakwambia kuwa hawezi kushinda nyumbani siku nzima bila kumtandika makofi mkewe!!

Na wengine hufikia kusema kabisa hadi mikao wanayo'do na wake zao, na kwa bahati mbaya au nzuri mara shemeji anapita hapo hapo kijiweni. Utakuta watu wanamwangalia wee, na wengine wanapata hadi hamasa ya kumtongoza ili waongeze kiwango cha utundu!
 
Kivyangu kulala ni zero distance zaidi ya hapo ndoa haijakamilika.
 
Mi nimependa tu ulivyo malizia uzi wako hapo kwenye herufi kubwa! Nahisi hiyo ndio conclusion.
 
inawezekana maanake nilistuka sio kawaida nikajiuliza is this BAK or there is someone intervening??????????ila kwa hapo sawa naona peni imeacha kuleta masahauzi.
LOL!!! Pen ilikuwa inasumbua hivyo ikaniharibia mwandiko 🙂🙂
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom