'Faida' ya uvutaji sigara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

'Faida' ya uvutaji sigara

Discussion in 'Jamii Photos' started by quimby_joey, Jul 12, 2012.

 1. quimby_joey

  quimby_joey JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 354
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  522729_428705273817931_665097281_n.jpg

  hii ni 'faida' mojawapo tu weka zingine unazofahamu kwa faida ya wavutaji

  My take: Uvutaji wa Sigara ni Hatari kwa Afya Yako!
   
 2. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duuu, inatisha siyo mchezo.
   
 3. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,635
  Likes Received: 171
  Trophy Points: 160
  Asee mkuu toa angalizo "ANGALIA AT YOUR OWN RISK" hapa kidogo chai yangu itoke!!
   
 4. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,513
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Duuuuhhh...nimeitupa nilikua ndio nimeiwasha.
   
 5. sikafunje.N

  sikafunje.N Member

  #5
  Jul 12, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  halafu sheria za uvutaji hadharani Tz bado.. utakuta mijamaa mitatu inavuta sigara bar ole wako uwaambie wazime au watoke nje!
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,220
  Likes Received: 1,627
  Trophy Points: 280
  Ila on a serious note nikiona mtu anavuta sigara miaka hii huwa nashindwa kujizuia kuwaza elimu yake. Yaani kuna mtu hajui sigara ina madhara?
   
 7. K

  KABAZI JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2012
  Joined: Apr 19, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  duuuu inatisha lakini watu hawaachi
   
 8. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,663
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Kesho siendi tena dukani kwa Mangi.
   
 9. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,846
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Mbona wengi tu, maproffesa wengi tu wanachoma umesahau Obama nae alikuwa anazichoma kaacha just few years back.
   
 10. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145

  Mkuu BAGAH unaniangusha mkuu,yaani kapicha hako tu mwanawane unatupa mneli,mbona kila siku tunaonyeshwa picha za watu wenye ngoma lakini infi hatuiachi,na kila siku ajali zinatokea lakini magari tunanunua kila siku,mashinikizo ya damu kila siku lakini ze kitiz hatuachi,hebu okota mneli tuendeleze kuchangia pato la Taifa.Hebu jiulize tu kama tutaacha kina Sikonge wakulima wa tumbaku kule Tabora watauza wapi tumbaku yao?Kwa mimi picha hii imenihamasisha kutoka kwenda kununua pakti nyingine,mneli una raha yake bana waache wasiojua waendelee kuupiga vita sisi kwa raha zetu..
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Up to now Prezidaa amekiri kwamba anavuta mara moja moja sana!
   
Loading...