Faida ya ndoa ni hii kama hujui hili usioe wala kuolewa bakia single tu hustahili

Samico Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2022
Posts
768
Reaction score
1,803
Habari wapendwa!

Taasisi ya ndoa imekumbwa na mitikisiko mingi hivi karibuni kutokana na changamoto mbali mbali!

Sababu kubwa inayopelekea hayo yote ni matarajio makubwa ya wenza katika ndoa.

UKWELI ni kwamba WANUFAIKA WAKUBWA WA NDOA NI WATOTO Siyo WANANDOA!

Wanandoa ni watu wawili waliokubaliana kutumikiana!

Ndoa nyingi zinakufa siku hizi kwasababu wenza wanataka kuona faida kwenye ndoa zaidi kuliko kutumika!

Ukikataa kuitumikia ndoa yako hufai kuwa miongoni mwa wanandoa!

Kama hukupata FAIDA YA NDOA YA WAZAZI WAKO usitumike kuwakatili watoto wako kuona faida ya ndoa yenu kama wazazi!

Tendo la ndo SIYO FAIDA YA NDOA, Bali FAIDA KUU YA ndoa ni kulea watoto katika umoja wa baba yao na mama yao

Kabla ya kuoa au kuolewa tambua unakwenda kutumika kwa faida ya uzao wako!

WASIOTAKA KUTUMIKA WASIPOTEZE MUDA HAKUNA FAIDA KWENYE NDOA!
Bali nyie wenza wawili (wanandoa) ndiyo mtaji kwa faida ya watoto wenu!

Mkioana ninyi faida ni kwa watoto; Mkiachana ninyi HASARA ni kwa watoto wenu.
NGONO IPO KWA WOTE WENYE UCHI LAKINI NDOA NI YA WACHACHE WALIOJITOA KUTUMIKIANA KWA FAIDA YA WENGINE
 
Nimekuelewa ila mimi sikutegemea faida kwenye ndoa ila nilivyoona ndoa inaniletea hasara nimeamua nijiweke pembeni watoto wale tu hasara
Hukutegemea faida lakini ulipoona inakuleta hasara ukaiacha!

Hiyo hasara hukupaswa kuihesabu maana ungejua maana ya ndoa ni kutumika!

Unapotumika hasara huwa siyo fungu lako bali la wanufaika.

Ulipotoka ndipo hasara kamili wanapitia watoto kwa kukosa malezi bora ya wazazi
 
Habari wapendwa!

Taasisi ya ndoa imekumbwa na mitikisiko mingi hivi karibuni kutokana na changamoto mbali mbali!

Sababu kubwa inayopelekea hayo yote ni matarajio makubwa ya wenza katika ndoa.

UKWELI ni kwamba WANUFAIKA WAKUBWA WA NDOA NI WATOTO Siyo WANANDOA!

Wanandoa ni watu wawili waliokubaliana kutumikiana!

Ndoa nyingi zinakufa siku hizi kwasababu wenza wanataka kuona faida kwenye ndoa zaidi kuliko kutumika!

Ukikataa kuitumikia ndoa yako hufai kuwa miongoni mwa wanandoa!

Kama hukupata FAIDA YA NDOA YA WAZAZI WAKO usitumike kuwakatili watoto wako kuona faida ya ndoa yenu kama wazazi!

Tendo la ndo SIYO FAIDA YA NDOA, Bali FAIDA KUU YA ndoa ni kulea watoto katika umoja wa baba yao na mama yao

Kabla ya kuoa au kuolewa tambua unakwenda kutumika kwa faida ya uzao wako!

WASIOTAKA KUTUMIKA WASIPOTEZE MUDA HAKUNA FAIDA KWENYE NDOA!
Bali nyie wenza wawili (wanandoa) ndiyo mtaji kwa faida ya watoto wenu!

Mkioana ninyi faida ni kwa watoto; Mkiachana ninyi HASARA ni kwa watoto wenu.
NGONO IPO KWA WOTE WENYE UCHI LAKINI NDOA NI YA WACHACHE WALIOJITOA KUTUMIKIANA KWA FAIDA YA WENGINE
Kiasi fulani umeongea facts,kongole kwako
 
Oeni vijana na umri wangu 70yrs nipo single kma macmuga
Lakini nanyi wazee si huwa mnaoa mabinti ili wawatumikie na kuwahudumia katika uzee wenu ...huko chumbani ukishindwa kujihudumia mtoto hawezi kuingia chumbani bali ni mke au mjukuu

Sasa kama hukuoa, hujaoa huoni ni changamoto babu yangu?
 
Ndoa na iheshimiwe na watu wote!
Ndoa si kwa watu legelege - hasa wanaume
Wanandoa wajiheshimu wao kwanza kwa kutambua wajibu wao ili waheshimike na wote!

Ukijidharau jamii nayo inawadharau! Mtu anaingia kwenye ndoa lakini anataka kuishi kama msela hataki kutumika, au mke anaingia kwenye ndoa lakini anataka kuishi kisister duh!

Praise kataa ndoa lazima waogope maana hawaoni UTUMISHI, Ndo ni kukubali kutumika kwa ajili ya mwenzio pasipo kuhesabu faida! Maana Faida ya kutumika kwako ni fungu la watoto siyo la wanandoa
 
Lakini nanyi wazee si huwa mnaoa mabinti ili wawatumikie na kuwahudumia katika uzee wenu ...huko chumbani ukishindwa kujihudumia mtoto hawezi kuingia chumbani bali ni mke au mjukuu

Sasa kama hukuoa, hujaoa huoni ni changamoto babu yangu?
Hapana mjukuu wangu secretarybird na mkewe wananihudumia kwenye chakula na malazi still niko vzr Ila mambo ya sex nop nisije kufa na presha na kisukari mjukuu
 
Back
Top Bottom