Mnachihanguuu JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 5,973 Reaction score 9,084 Jul 18, 2026 #41 Harmful said: Kwanini mkuu Click to expand... Zinapunguza nguvu za kiume
100 others JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 10,175 Reaction score 36,346 Jul 18, 2026 #42 Okra soup.. Nigerians huwa wanazichanganya na nyama ama samaki..
627 Member Joined Jul 17, 2026 Posts 51 Reaction score 111 Jul 18, 2026 #43 stabilityman said: Faida za kula bamia: Husaidia kudhibiti kiwango cha sukari mwilini (nzuri kwa wagonjwa wa kisukari) Ina nyuzinyuzi nyingi (fiber) zinazosaidia mmeng'enyo wa chakula na kuzuia choo kigumu Husaidia kupunguza lehemu (cholesterol) mbaya mwilini Ina vitamini C nyingi zinazoimarisha kinga ya mwili Ina vitamini K muhimu kwa kuganda kwa damu na afya ya mifupa Ina antioxidants zinazolinda seli za mwili dhidi ya uharibifu Husaidia afya ya moyo kwa kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo Ina asidi ya folic muhimu kwa wajawazito (huzuia matatizo ya uti wa mgongo kwa mtoto) Kiwango kidogo cha kalori, hivyo nzuri kwa udhibiti wa uzito Ina madini kama potassium, magnesium, na calcium Husaidia kuboresha afya ya ngozi Ina uwezo wa kupunguza uvimbe mwilini (anti-inflammatory Click to expand...
stabilityman said: Faida za kula bamia: Husaidia kudhibiti kiwango cha sukari mwilini (nzuri kwa wagonjwa wa kisukari) Ina nyuzinyuzi nyingi (fiber) zinazosaidia mmeng'enyo wa chakula na kuzuia choo kigumu Husaidia kupunguza lehemu (cholesterol) mbaya mwilini Ina vitamini C nyingi zinazoimarisha kinga ya mwili Ina vitamini K muhimu kwa kuganda kwa damu na afya ya mifupa Ina antioxidants zinazolinda seli za mwili dhidi ya uharibifu Husaidia afya ya moyo kwa kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo Ina asidi ya folic muhimu kwa wajawazito (huzuia matatizo ya uti wa mgongo kwa mtoto) Kiwango kidogo cha kalori, hivyo nzuri kwa udhibiti wa uzito Ina madini kama potassium, magnesium, na calcium Husaidia kuboresha afya ya ngozi Ina uwezo wa kupunguza uvimbe mwilini (anti-inflammatory Click to expand...
Bushmamy JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 10,868 Reaction score 19,653 Jul 20, 2026 #44 Funny boe said: Unaambiwa siku hizi jamaa ndo amechukua tuition ya kujifunza Click to expand... Dume zimaa unaandika eti "unaambiwa" na nani? Mxiiiiiu
Funny boe said: Unaambiwa siku hizi jamaa ndo amechukua tuition ya kujifunza Click to expand... Dume zimaa unaandika eti "unaambiwa" na nani? Mxiiiiiu
Funny boe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2023 Posts 3,347 Reaction score 7,434 Jul 20, 2026 #45 Bushmamy said: Dume zimaa unaandika eti "unaambiwa" na nani? Mxiiiiiu Click to expand... Nimeambiwa na mama yako mzazi, juzi usiku nilikuwa nae
Bushmamy said: Dume zimaa unaandika eti "unaambiwa" na nani? Mxiiiiiu Click to expand... Nimeambiwa na mama yako mzazi, juzi usiku nilikuwa nae