Faida ya kukamatwa kwa mkurugenzi wa JF kwa JF

Yakiisha salama basi matangazo ya biashara yataongezeka sana maana watumiaji watakua wengi zaidi. Mungu atamsimamia kama Shadrack, Meshack na Abnego
AMENI
 
Haya mambo yatasababisha tusifikie Tanzania ya viwanda

Taifa lilipaswa liwe na mawazo ya viwanda

Jamii ilipaswa ijadili kupitia Jf na media zingne kuhusiana na Tanzania ya viwanda

Serikali ilipaswa ijikite kwenye jenda kuu ya viwanda na si kupoteza muda na waleta mabadiliko na maendeleo kama akina Max na wengneo

Tanzania ilipaswa iwekwe pamoja zaid na watu kutoa mawazo yao

Mitazamo ya viwanda ilipaswa ijadiliwe na katika mijadala wakosoaji ni muhimu coz watakosoa kwenye mapungufu na ukosoaji huo ungesaidia kuijenga Tanzania ya viwanda

Ndo muda mwafaka ambao serikali ilipaswa kuwekexa kwenye elimu na elimu inayolenga Tanzania ya viwanda

Tanzania yangu ya viwanda mpaka sasa sijui kama tumeanza au bado tunasubiri kwanza akina Max wafungwe midomo then itakuja kimya kimya
 
Ila faida kubwa kuliko zote ni kutambua chama kinachoongoza serikali hakitufai, tunapaswa kukikataa kwa nguvu zote kwenye chaguzi zijazo
 
  • Thanks
Reactions: lup
Nilipoona wife nae yuko Jf wiki hii nikajua ngoma inogile ila nataka nmdukue nijue anatumia id gani nisije jikoroga soku moja!
 
tuombe Mungu atoke salam na afya yake njema,ili aje aimarishe zaid na zaid JF yetu.asante
 
Hivi ndiyo baadhi ya watu wanavo tweet

For some reason I will start to trust this Jamii site, I never used to! If it wasn't genuine they would not give a damn [HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG] GITANA CHANTÈ on Twitter
 
Kwa jinsi hali ilivyo tutegemee viwanda vya kukamua juisi za miwa.

Back
Top Bottom